Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.
Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi.
Haya sasa tunavyoongea hapa, nimeona hii picha inasambaa huko.whatsapp. Je kuna ukweli kwamba imetia nanga bandari ya Tanga?
Kama ni kweli; je, hakuna implications zozote za kidiplomasia kwa nchi yetu? Hususan vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi?