Je, Meli ya Mizigo ya Urusi imetua Tanga? Je, haitaleta mtikisiko wa kidiplomasia?

Je, Meli ya Mizigo ya Urusi imetua Tanga? Je, haitaleta mtikisiko wa kidiplomasia?

Urusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.

USSR
Ndio unavyo jidanganya? Urusi anafanya Biashara na Asia, South America na Africa, walw Rainbow hawamilik Dunia
 
Haijui Urusi huyo
[emoji116]analia.
IMG_20230225_230140.jpg
 
Minong'ono kwenye korido za diplomasia ni ipi zaidi ya malalamiko ya wabongo wasiona taarifa saihihi za diplomasia?
Meli zije tu!
 
Tunasikitika kwa mtanzania mwenzetu aliyefia huko! Lakini uhusiano wetu udumu.
Russia kwa miaka mingi imekuwa ikiunga mkono harakati za waafrika kupambana na mabeberu zinazoendelea kutunyonya na kusababisha migogoro katika nchi nyingi za Afrika.
 
Urusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.

USSR
Wewe kumbe hujui kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Adui wao ni WA adui wa kwao wenyewe kwa sababu tuzingatia msemo wa mchuma janga ....!! Kwa hiyo wasahau kabisa kufikiri kuwa adui wao wa kifikirika lazima awe adui yetu!
 
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.

Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi.

Haya sasa tunavyoongea hapa, nimeona hii picha inasambaa huko.whatsapp. Je kuna ukweli kwamba imetia nanga bandari ya Tanga?

Kama ni kweli; je, hakuna implications zozote za kidiplomasia kwa nchi yetu? Hususan vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi?

View attachment 2532246
Kwani sisi tunagombana na urusi? Au ulisikia tanzania imeiwekea urusi vikwazo vyovyote?
Vikwazo ni vya hao maadui wa urusi, wala umoja wa mataifa haujaiwekea urusi kikwazo chochote. Warusi ni rafiki zetu na ni marafiki wa afrika.
 
Back
Top Bottom