Nipo worried as raia maana hatuna vikwazo lakini serikali imetuwekea vikwazo vya kkuchumi wanancho wake.Urusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.
USSR
Urusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.
USSR
Viongozi hawajali vikwazo wanajali matumbo yao.Nipo worried as raia maana hatuna vikwazo lakini serikali imetuwekea vikwazo vya kkuchumi wanancho wake.
Sasa haya mambo ndo yakanipa hofu kuwa the worse have not yet come
Kweli, hatupaswi kuwa biased na upande wowote. Vita dhidi ya ujinga,umasikini ,maradhi,ufisadi nk. Ndio tunayopasa kufikiria namNa ya kupambana.Tanzania haifungamani iko Huru tena Huru kweli kweli
Mna njaa mlo kwa siku shida. Asilimia 70% mnakunya vichakani/porini. Lazima mchaguliwe tu marafiki.Mwalimu alisema hatukubali mataifa makubwa watuchagulie marafiki PERIOD
No mkuu ukiangalia picha kwa makini ile si tankerHiyo si meli ya mafuta
Roho za kikatili ndani ya JF,aliyekufa ni binadamu sio panzi mkuu au sio ndugu yako?Hatufungamani na upande wowote.
Ishu ya hyo aliyekufa kwani serikali ndo ilimpeleka kama asingekufa akapata malipo wewe ungejua...Hizo ni tamaa zake wala serikali haihusiki moja kwa moja
Wenye Dunia wanaingoja Urusi come 2027 ndiyo utaitamani aukuikimbia.Urusi haiwezi kuwa masikini piga uwa walahi nakwambia
Sio tanker mzee tanker zinajulikana nyingi Zina majina ya kike .No mkuu ukiangalia picha kwa makini ile si tanker
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.
Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi.
Haya sasa tunavyoongea hapa, nimeona hii picha inasambaa huko.whatsapp. Je kuna ukweli kwamba imetia nanga bandari ya Tanga?
Kama ni kweli; je, hakuna implications zozote za kidiplomasia kwa nchi yetu? Hususan vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi?
View attachment 2532246