Je, Meli ya Mizigo ya Urusi imetua Tanga? Je, haitaleta mtikisiko wa kidiplomasia?

Relax mkuu mtoa mada,Tanzania ya sasa ni tofauti kubwa sana na Ile ya foreign minister's akina Mr.Malecela, Mr.Salim A.Salim, vipindi vyao hawa Africa ilikuwa inasimama kusubiria Dar es Salaam itatoa tamko gani, Leo hata Rwanda inatusumbua
 
Roho za kikatili ndani ya JF,aliyekufa ni binadamu sio panzi mkuu au sio ndugu yako?
Sina roho hyo nimekuambia ukweli kabisa sidhani Kama jamaa alilazimishwa kujiunga ...kama unabisha fuatilia na nchi zetu zipo nyuma sana kufuatilia maslahi ya raia mmoja mmoja tena wakiwa abroad ..

Izo dosho angepata kwa kupigania Russia serikali unafikiria ingepata?
 
Tusubiri.
 
Sio Hilo tu,,ona na hili.
 
Implication inatoka wapi kwani nyie sini sovereign and democratic state. Wasiwasi wanini tena? 😀 😀 😀
 
Mmetewa chakula na mbolea mnaanza Woga. chuma ya mwanangu Put IN imeleta msaada sio biashara
 
Walete na zingine nyingi nyingi kama hizo! Vikwazo ndo nini?
 
Tanzania haifungamani iko Huru tena Huru kweli kweli
Maccm mlimfundisha Mugabe Jeuri na kiburi matokeo yake leo hii Zimbabwe inategemea ifadhiliwe na nchi masikini kama Belarus! Ndo maana kuna Mtu kasema viongozi wa Serikali za Kijamaa huwa hawajali vikwazo bali wanajali Matumbo Yao.
 
Kama haijaleta silaha kwenda kuchafua usalama wa DRC, sio tatizo kubwa kwani hata huko Ulaya na Marekani bado kuna makampuni ambayo bado yako Urusi.
 
Hiyo meli imembeba au kainunua mama Samia? Maana ninaiona picha yake kwenye meli.
 
Vikwazo vimewekwa na umoja wa Mataifa au Ulaya na Marekani? Some time tumia akili kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…