BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ndio unavyo jidanganya? Urusi anafanya Biashara na Asia, South America na Africa, walw Rainbow hawamilik DuniaUrusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.
USSR
Haijui Urusi huyoUrusi haiwezi kuwa masikini piga uwa walahi nakwambia
Point ya KarineNchi kuwa maskini ni ukosefu wa akili wa viongozi. Urusi haina viongozi wapumbavu kama taifa flani la watu wa michongo
[emoji116]analia.Haijui Urusi huyo
Huyo ameshakuwa nunda hana cha kupoteza[emoji116]analia.View attachment 2532639
JOTO limepanda sana,Implication inatoka wapi kwani nyie sini sovereign and democratic state. Wasiwasi wanini tena? π π π
Wewe kumbe hujui kitu[emoji23][emoji23][emoji23]Urusi inaelekea kuwa maskini japo sio kama nchi za Afrika ila kuwapo kwa meli sio ishu maana dunia inataka bahari nyeusi ifunguke nafaka zisambaze.
USSR
Kwani sisi tunagombana na urusi? Au ulisikia tanzania imeiwekea urusi vikwazo vyovyote?Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.
Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi.
Haya sasa tunavyoongea hapa, nimeona hii picha inasambaa huko.whatsapp. Je kuna ukweli kwamba imetia nanga bandari ya Tanga?
Kama ni kweli; je, hakuna implications zozote za kidiplomasia kwa nchi yetu? Hususan vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi?
View attachment 2532246
Mnaogopa kunyimwa Condom auJOTO limepanda sana,
Tuendelee na Maombi.