Pilimi
Member
- Mar 23, 2009
- 67
- 14
Ndugu wadau naomba tujiulize kwanza,
Kwa mfumo wa zamani grade A ilikuwa 81-100,grade B ilikuwa 61-80,grade C ilikuwa 41-60,grade D ilikuwa 21-40 na mwisho ni grade F ilikuwa 0-20. vivyo hivyo grade A=1,B=2,C=3,D=4 na F=5. nijuavyo ilikuwa Div I ilikuwa point 7-17,Div II ilikuwa 18-22,Div III ilikuwa point 23-27,Div IV ilikuwa point 28-32,then Div O ilikuwa from 33-........
Wana JF naomba kwa mchanganuo huo wa zamani mnijuze mchanganuo huu mpya na ingekuwaje yule aliyepata Div III ya point 33 kwa mfumo wa zamani?
Nawakilisha.