Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

Pilimi

Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
67
Reaction score
14
Ndugu wadau naomba tujiulize kwanza,

Kwa mfumo wa zamani grade A ilikuwa 81-100,grade B ilikuwa 61-80,grade C ilikuwa 41-60,grade D ilikuwa 21-40 na mwisho ni grade F ilikuwa 0-20. vivyo hivyo grade A=1,B=2,C=3,D=4 na F=5. nijuavyo ilikuwa Div I ilikuwa point 7-17,Div II ilikuwa 18-22,Div III ilikuwa point 23-27,Div IV ilikuwa point 28-32,then Div O ilikuwa from 33-........

Wana JF naomba kwa mchanganuo huo wa zamani mnijuze mchanganuo huu mpya na ingekuwaje yule aliyepata Div III ya point 33 kwa mfumo wa zamani?

Nawakilisha.
 
III ilikuwa ni 23 hadi 25 na zero ilikuwa 34 hadi 35
 
kama ungetumika mfumo wa zamani, matokeo ya mwaka huu ingekuwa ni aibu sana bora hata ya mwaka jana, maana ukiangalia 4 zao nyingi ni za 35-45 kwa maana hiyo hawa wote wangepata 0.
 
yes,III ilikuwa 23 hadi 25 na IV ilianza 26.ila kuna dogo ana div IV ya 44.kweli kiboko.
 
Kwa maana hiyo matokeo ya mwaka huu ni mabaya zaidi ukilinganisha na ya mwaka jana.watu wako busy na posho za bunge la katiba pia majangili ili tusahau elimu kwa watanzania.
 
kama ungetumika mfumo wa zamani, matokeo ya mwaka huu ingekuwa ni aibu sana bora hata ya mwaka jana, maana ukiangalia 4 zao nyingi ni za 35-45 kwa maana hiyo hawa wote wangepata 0.
funguka akili ww kumbuka wakati wako ww ulipopata C ya 41 ilihesabiwa kam 2crdt lakin huyu wa leo amehesabiwa kama 3 credt ambayo ilikuwa ni crdt D mwaka uliopita fikiria kidogo achana na kusema grade A imeshushwa kumbuka kwa mwanafunz wa form four kuipata 75 Si kaz ndogo XO NAFKIRI MUNGEACHA LAWAMA ZA KIPUMBAVU sasa ww chukua vile vimaksi vyoko vya zaman ambapo C ilianzia 41 ikawa count as 2 crdt den ucaunt kwa sasa ka hujapata division Zero
 
Punguza hasira,ni kueleweshana tu.
 
Tazama kidogo hapa tumpangie mtu matokeo

zaman new crdt kwa maks
civc-B-62 crdt 2 2
bios-C-54 crdt 3 3
histor-42 crdt 3 4
englis-45 crdt 3 4
geogra-50crdt 3 4
kiswahl B-64 crdt 2 2
math D- 24 crdt 4 6
chem C-45 crdt 3 4
physcs D-33 crdt 4 5
division division
2 points 19 3 Point 23
sasa hap nani kabebwa au nani kaonewa

xo msilaulu tu kabla hamjafikiria nyie watanzania jarbuni kuwa mnathink deeply
 
very simple, palipo na dv1 ni dv 2 palipo na2 weka 3, napalipo na 3weka dv 4,napalipo na dv4 weka0 au5.hivo ufauru ungekuwa 32% na walio fail 68%. hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite ,Mulugo hoooyeeeee!!!!!!!!
 
Hebu nijuze,

A=75-100
B+=........
B-=.......
C=........
D=.........
E=........
F=.......
Tafadhali nijazia hizo grade kwa mfumo wa sasa.
 
Huo ndo ukweli.
 
Hebu nijuze,

A=75-100
B+=........
B-=.......
C=........
D=.........
E=........
F=.......
Tafadhali nijazia hizo grade kwa mfumo wa sasa.

Ufafanuzi tafadhali hapa wakuu.
 
hahahahahaha kwa aliyepita shule hatakataa hili.wanafunzi wengi wanaofaulu hupata alama "C" sijui kwa nini na most of them hupata 41-50 hapa ndio kuna kundi kubwa zaidi la wanafunzi kuliko kwenye alama zozote zile.zamani "C" ilianzia 41-60 na ilikuwa na point 3.leo "C" inanzia 41-50 na point ni 4 kumbuka hili ni kundi lenye wanafunzi wengi.hivyo ni wazi kabisa wanafunzi wamefinywa hapa.

kwa kusema aliyepata 1st div zamani angepata 2 ni uongo ili upate 1 ni lazima uwe na B+ japo nne na B plain tatu ili upate point 17.qualifications za anayepata B+(60-75) ambayo ni point 2 hazina tofauti na ambaye alipata B(61-80) zamani.

hii system ni mbaya kwa wanafunzi kuliko inavyosemwa na watu waliomezeshwa maneno bila ya kushirikisha vichwa vyao wenyewe.mtu aliyepata C(4 points) sasa angekuwa na C(3 points) hiyo hiyo zamani.

duuuh great thinkers do not think anymore
 
Hebu nijuze,

A=75-100
B+=........
B-=.......
C=........
D=.........
E=........
F=.......
Tafadhali nijazia hizo grade kwa mfumo wa sasa.

Vzur nakupa na credt zake ili ulinganishe
A=75-100 credt 1
B+=61-74 credt 2
B-=51-60 credt 3
C=41-50 credt 4
D=30-40 credt 5
E=20-29 crdt 6
F=19-0 crdt 7

sasa panga by assumin matokeo ya zama kwa grade mpya utakuta most ya xcl za gvt zimefeli cz huwa naangukia kwenye B~ mpaka C ambazo sasa zimepanda credt zimekuwa D.na F ya zaman
 
alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo, kwa kidato cha nne ni A=80-100,
B=65-79, C=50-64, D=35-49, F= 0-34 kwa
upande wa kidato cha sita A=80-100,
B=75-79, C=65-74, D=55-64, E=45-54,
S=40-44 na F= 0-39.
Alisema mfumo mpya, umehusisha alama
za kidato cha nne na cha sita na kuwa
kuanzia sasa A=75-100, B+=60-74,
B=50-59, C=40-49, D=30-39, E=20-29 na
F=0-19.
 
Back
Top Bottom