Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

Hapa tunatakiwa vile vile kuweka sasa kwamba div. I ya sasa hivi inaanzia ngapi mpaka ngapi? vivyo hivyo kwa madaraja mengine ndo tujue yupi amependelewa. Kusema tu kwamba wa zamani kuliko wa sasa haitoshi tuende mbali zaidi ya hapo. kwa mfano nimejaribu kupiga ya kwangu ya zamani ambayo ilikuwa div. II ya pwent 21 imekuwa ya 22 kwa mfumo wa sasa. Je! kwa sasa pwent 22 ni two au ni one? Tukienda hivyo ngoma ndo itanoga. Maana unawezakuta matoto ya Mulugo yamepiga kuliko sisi wa zamani. Tutumie bongo zetu vizuri wadau!
 
Tunaambiwa kwamba kwa mfumo wa sasa, ukipata F ya hesabu hakuna penalti.
Hii imefanywa makusudi ili wengi zaidi waonekane wamepata I and II.
Usichezee CCM bana!
 
mwenye 2 ya 21 ya zamani yenye c 7 kama c zake ni za 41-50 angekuwa na 3 ya 28 sasa urahisi uko wapi hapo
 
Tazama kidogo hapa tumpangie mtu matokeo

zaman new crdt kwa maks
civc-B-62 crdt 2 2
bios-C-54 crdt 3 3
histor-42 crdt 3 4
englis-45 crdt 3 4
geogra-50crdt 3 4
kiswahl B-64 crdt 2 2
math D- 24 crdt 4 6
chem C-45 crdt 3 4
physcs D-33 crdt 4 5
division division
2 points 19 3 Point 23
sasa hap nani kabebwa au nani kaonewa

xo msilaulu tu kabla hamjafikiria nyie watanzania jarbuni kuwa mnathink deeply

Ww utakuwa ni mmoja kati ya waliobebwa wanaume tulifight mpaka tumefika hapa,na kuwaonesha sisi kama hatukubebwa form six wa mwaka huu na form five ambao wanaingia form six wa sita tutafanya vizuri zaidi kuliko hawa wanaoingia mwaka huu form five coz wamebebwa
 
Umenena, habari ndiyo hiyo Mkuu
Ww utakuwa ni mmoja kati ya waliobebwa wanaume tulifight mpaka tumefika hapa,na kuwaonesha sisi kama hatukubebwa form six wa mwaka huu na form five ambao wanaingia form six wa sita tutafanya vizuri zaidi kuliko hawa wanaoingia mwaka huu form five coz wamebebwa
 
Shanga eni kidogo huu mfumo mpya ni maumivu mwanadunzi ana point 36 ambayo ni foour na ana credit tatu na D nne ,zamani siange kuwa na three ya 25 huyo,haya ndo nn sasa?
 
Hebu tujaribu kuelewa F ya xaxa hv ina point 7 lazima div 4 iwe na point za 40 huko
 
Mchanganuo wa kisasa ni kwa ajili ya kuwaliwaza wazazi na wanasiasa.
 
Kwa mtaji huu elimu yetu KWISNEI hata huo ufafanuzi uliotolewa hauna mantiki hata punje. Eti walikuwa wanaondoa mlundikano wa alama sasa kwa nini hata thamani ya B imeshuka sana ukilinganisha na miaka iliyopita. NECTA imegeuka uchochoro wa wanasiasa wamekubali kuiua elimu yetu kwa sababu ya njaa zao
Mchanganuo wa kisasa ni kwa ajili ya kuwaliwaza wazazi na wanasiasa.
 
Alama hizi zinatumika hapa chuo kikukuu na lengo ni kupunguza mlundikano wa maksi katika kundi moja,Bumija Phd-udsm
 
Wangetumia mfumo wa zamani matokeo yangekuwa majanga makubwa zaidi kuliko hata yale yaliyofutwa na kupangwa upya
alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo, kwa kidato cha nne ni A=80-100,
B=65-79, C=50-64, D=35-49, F= 0-34 kwa
upande wa kidato cha sita A=80-100,
B=75-79, C=65-74, D=55-64, E=45-54,
S=40-44 na F= 0-39.
Alisema mfumo mpya, umehusisha alama
za kidato cha nne na cha sita na kuwa
kuanzia sasa A=75-100, B+=60-74,
B=50-59, C=40-49, D=30-39, E=20-29 na
F=0-19.
 
Kwa mtaji huu elimu yetu KWISNEI hata huo ufafanuzi uliotolewa hauna mantiki hata punje. Eti walikuwa wanaondoa mlundikano wa alama sasa kwa nini hata thamani ya B imeshuka sana ukilinganisha na miaka iliyopita. NECTA imegeuka uchochoro wa wanasiasa wamekubali kuiua elimu yetu kwa sababu ya njaa zao

NECTA inacheza ngoma nyingi, inacheza ngoma za wanasiasa, wazazi na BAKWATA sasa ili iwaridhishe basi imeamua kutoa hayo ya point 42 ni 0 na point 45 ni IV
 
kjana hesabu yako cio nzuri.Haiwezekan m2 apate credt 3 na D 4 alafu apate dvtion 4 ya 36! Jalbu kuexabu vzul! C3=12 D4=20 hapo uyu atakua 2 ya 32. hupo ee!!!
 
Shanga eni kidogo huu mfumo mpya ni maumivu mwanadunzi ana point 36 ambayo ni foour na ana credit tatu na D nne ,zamani siange kuwa na three ya 25 huyo,haya ndo nn sasa?

kama ndo hvyo matokeo ya sasa mtu kufaulu ni ngumu kuliko ilivyokua hapo awali
 
hahahahahaha kwa aliyepita shule hatakataa hili.wanafunzi wengi wanaofaulu hupata alama "C" sijui kwa nini na most of them hupata 41-50 hapa ndio kuna kundi kubwa zaidi la wanafunzi kuliko kwenye alama zozote zile.zamani "C" ilianzia 41-60 na ilikuwa na point 3.leo "C" inanzia 41-50 na point ni 4 kumbuka hili ni kundi lenye wanafunzi wengi.hivyo ni wazi kabisa wanafunzi wamefinywa hapa.

kwa kusema aliyepata 1st div zamani angepata 2 ni uongo ili upate 1 ni lazima uwe na B+ japo nne na B plain tatu ili upate point 17.qualifications za anayepata B+(60-75) ambayo ni point 2 hazina tofauti na ambaye alipata B(61-80) zamani.

hii system ni mbaya kwa wanafunzi kuliko inavyosemwa na watu waliomezeshwa maneno bila ya kushirikisha vichwa vyao wenyewe.mtu aliyepata C(4 points) sasa angekuwa na C(3 points) hiyo hiyo zamani.

duuuh great thinkers do not think anymore

umenena kwel
 
ungetumika wa zamani ungepunguza idadi ya division one bt ziro zingebaki vilevile
 
Ww utakuwa ni mmoja kati ya waliobebwa wanaume tulifight mpaka tumefika hapa,na kuwaonesha sisi kama hatukubebwa form six wa mwaka huu na form five ambao wanaingia form six wa sita tutafanya vizuri zaidi kuliko hawa wanaoingia mwaka huu form five coz wamebebwa

Ni kwel mim ni mmoja wao na nna division two point 23 nnaswal dogo katka alama zang ni hizi lamama zang tazama

civc B
geo B
kisw B
englis B
Bios B +
chemi C
physc D
math D
hist D

Naomba unambie sasa kwa mfumo wa zaman ningekuwa na division ngap
kama sikosei ni two point 21 sasa nmebebwa au nmeonewa
 
Back
Top Bottom