Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Hapa tunatakiwa vile vile kuweka sasa kwamba div. I ya sasa hivi inaanzia ngapi mpaka ngapi? vivyo hivyo kwa madaraja mengine ndo tujue yupi amependelewa. Kusema tu kwamba wa zamani kuliko wa sasa haitoshi tuende mbali zaidi ya hapo. kwa mfano nimejaribu kupiga ya kwangu ya zamani ambayo ilikuwa div. II ya pwent 21 imekuwa ya 22 kwa mfumo wa sasa. Je! kwa sasa pwent 22 ni two au ni one? Tukienda hivyo ngoma ndo itanoga. Maana unawezakuta matoto ya Mulugo yamepiga kuliko sisi wa zamani. Tutumie bongo zetu vizuri wadau!