Given Nathan
Member
- Feb 23, 2014
- 35
- 2
unasubiri post za serikali wakati mwanzo uliziponda kwamba zinawajazia wanafunzi CA za uongo,,nawe nenda wakakujazie,alafu usijisifu kwa sayansi na kuwaponda arts maana baada matokeo ya form 6 kutoka huwa hatuulizi hii 1 ya sayansi au arts so jipange maana A level si lelemama!
Wewe rudi nyuma kasome vizur uelewe mzozo ulipo sio unakurupuka