Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

unasubiri post za serikali wakati mwanzo uliziponda kwamba zinawajazia wanafunzi CA za uongo,,nawe nenda wakakujazie,alafu usijisifu kwa sayansi na kuwaponda arts maana baada matokeo ya form 6 kutoka huwa hatuulizi hii 1 ya sayansi au arts so jipange maana A level si lelemama!

Wewe rudi nyuma kasome vizur uelewe mzozo ulipo sio unakurupuka
 
ukweli ni kwKamba matokeo yenu huwezi kulinganisha hata kidogo na ya mwaka jana,,system ya mwaka jana ingetumika i believe wengi wangeangukia pua,,alaf hiki kizazi cha Mulugo bhana hakiwezi kutofautisha H na U mfano wewe unasema Huongo badala ya Uongo,,kuhusu CA ni kwamba hakuna shule inayopeleka CA mbaya maana mwisho wa siku ni kufelisha shule,mkuu yupi anayetaka kufelisha shule yake?So hata kama mkiyatetea vipi matokeo ya mwaka huu bado ni janga since hata form 2 mlipita bila mchujo..

alaf naomba unitake radhi unaposema mmi nilipita bila mchujo form 2 cz xcl kwetu hakuna aliyefanya mtihan wataifa bila Avrge ya 51 Xo samah umekosea sikupita kama alivyopita mdogo wako alaf nmeULIZA swali dogo JE ACADEMIC ANAWEZA KUKUWEKEA. 'A' ya MATH wakat uwezo wako ni F sanasana. akikupe Akupe D na kama ivyo inamaana wale wenye Dvsn 0 mbna hawana 1 na 2. Or 3 cz CA. Si waliwekewa AAAAAABBB alaf aya fanya tumebebwa tofaut ni nin mim si ntapita A lvl kama ww au mim ntaishia hapa so wala hunipi shda kwa kiukwel cz ata hvyo ss kwetu tumefauru shule nzma wa mwisho ana three point 26 acha tubebwa cz tunabahat na yule aliyepata 0 Myb hana bahat but tambua ckuzote Maisha ni kama mchezo wa kamali
kama huna BAHATI utaambulia umaskin atakama ulisoma chin ya mwembe au. Kwenye kiyoyozi POLE

kwenye.
 
Wewe rudi nyuma kasome vizur uelewe mzozo ulipo sio unakurupuka

haya bwana basi kwa taarifa yako kwa gredi hizi mpya ujue tanzania ni miongoni mwa nchi zenye ufaulu wa chini zaidi duniani
hili nililokuambia kuwa unasubiri ni kutokana na jibu lako kwa mchangiaji mmoja hivi kuwa nyie sio kama shule za serikali bila kujua kuwa unasubiri kupangwa gvt school!!shame on you!
 
kwa uandishi huu mbovu usiojua kutofautisha herufi nna mashaka na perfomance yako mdogo wangu!kwani hamna 's' mpaka utumie' x' na hujui kutofautisha 'r' na "l" wala "h"
kuhusu wewe kufaulu advance wala haiwezi kutokana na matokeo yako ya form 4 bali juhudi zako na usijidanye kuwa utafaulu kwa bahati,advance kama hujui hujui hakuna bahati huko.
Kwa kuwa umetoka private ni bora uendelee na private na siyo serikalini, huko hakuna spoon feed mdogo wangu.
Maandalizi mema ya kwenda shule.
 
haya bwana basi kwa taarifa yako kwa gredi hizi mpya ujue tanzania ni miongoni mwa nchi zenye ufaulu wa chini zaidi duniani
hili nililokuambia kuwa unasubiri ni kutokana na jibu lako kwa mchangiaji mmoja hivi kuwa nyie sio kama shule za serikali bila kujua kuwa unasubiri kupangwa gvt school!!shame on you!

.
Ongea kama mtu mzima bwana
kuna fact yeyote apo mpaka useme tanzania ina viwango vya chini duniani? Toa nchi yenye ufaulu wa juu au nawe ndo umesikia kwa wanasiasa huko
.
Panuka ueleweke ukiwa na mifano ya kutosha
.
 
alaf naomba unitake radhi unaposema mmi nilipita bila mchujo form 2 cz xcl kwetu hakuna aliyefanya mtihan wataifa bila Avrge ya 51 Xo samah umekosea sikupita kama alivyopita mdogo wako alaf nmeULIZA swali dogo JE ACADEMIC ANAWEZA KUKUWEKEA. 'A' ya MATH wakat uwezo wako ni F sanasana. akikupe Akupe D na kama ivyo inamaana wale wenye Dvsn 0 mbna hawana 1 na 2. Or 3 cz CA. Si waliwekewa AAAAAABBB alaf aya fanya tumebebwa tofaut ni nin mim si ntapita A lvl kama ww au mim ntaishia hapa so wala hunipi shda kwa kiukwel cz ata hvyo ss kwetu tumefauru shule nzma wa mwisho ana three point 26 acha tubebwa cz tunabahat na yule aliyepata 0 Myb hana bahat but tambua ckuzote Maisha ni kama mchezo wa kamali
kama huna BAHATI utaambulia umaskin atakama ulisoma chin ya mwembe au. Kwenye kiyoyozi POLE

kwenye.

kwa uandishi huu mbovu usiojua kutofautisha herufi nna mashaka na perfomance yako mdogo wangu!kwani hamna 's' mpaka utumie' x' na hujui kutofautisha 'r' na "l" wala "h"
kuhusu wewe kufaulu advance wala haiwezi kutokana na matokeo yako ya form 4 bali juhudi zako na usijidanye kuwa utafaulu kwa bahati,advance kama hujui hujui hakuna bahati huko. Kuna watu walikuwa very bright na walitoka na 1 but walirudi na 4 na 0.
Kwa kuwa umetoka private ni bora uendelee na private na siyo serikalini, huko hakuna spoon feed mdogo wangu.
Maandalizi mema ya kwenda shule.
 
alaf naomba unitake radhi unaposema mmi nilipita bila mchujo form 2 cz xcl kwetu hakuna aliyefanya mtihan wataifa bila Avrge ya 51 Xo samah umekosea sikupita kama alivyopita mdogo wako alaf nmeULIZA swali dogo JE ACADEMIC ANAWEZA KUKUWEKEA. 'A' ya MATH wakat uwezo wako ni F sanasana. akikupe Akupe D na kama ivyo inamaana wale wenye Dvsn 0 mbna hawana 1 na 2. Or 3 cz CA. Si waliwekewa AAAAAABBB alaf aya fanya tumebebwa tofaut ni nin mim si ntapita A lvl kama ww au mim ntaishia hapa so wala hunipi shda kwa kiukwel cz ata hvyo ss kwetu tumefauru shule nzma wa mwisho ana three point 26 acha tubebwa cz tunabahat na yule aliyepata 0 Myb hana bahat but tambua ckuzote Maisha ni kama mchezo wa kamali
kama huna BAHATI utaambulia umaskin atakama ulisoma chin ya mwembe au. Kwenye kiyoyozi POLE

kwenye.

kwa uandishi huu mbovu usiojua kutofautisha herufi nna mashaka na perfomance yako mdogo wangu!kwani hamna 's' mpaka utumie' x' na hujui kutofautisha 'r' na "l" wala "h"
kuhusu wewe kufaulu advance wala haiwezi kutokana na matokeo yako ya form 4 bali juhudi zako na usijidanye kuwa utafaulu kwa bahati,advance kama hujui hujui hakuna bahati huko. Kuna watu walikuwa very bright na walitoka na 1 but walirudi na 4 na 0. Kuhusu mchujo wa form 2 naongelea kitaifa wala sio kishule kama yalivyo mawazo yako!kuhusu swala CA kwa private ni possible zaidi maana wako kibiashara zaidi!!
Kwa kuwa umetoka private ni bora uendelee na private na siyo serikalini, huko hakuna spoon feed mdogo wangu.
Maandalizi mema ya kwenda shule.
 
.
Ongea kama mtu mzima bwana
kuna fact yeyote apo mpaka useme tanzania ina viwango vya chini duniani? Toa nchi yenye ufaulu wa juu au nawe ndo umesikia kwa wanasiasa huko
.
Panuka ueleweke ukiwa na mifano ya kutosha
.

wewe naona hufuatilii mambo siongei siasa hapa wanasiasa wapo Dodoma sasa hivi!!nikipata muda nitakuwekea usihofu
 
.
Ongea kama mtu mzima bwana
kuna fact yeyote apo mpaka useme tanzania ina viwango vya chini duniani? Toa nchi yenye ufaulu wa juu au nawe ndo umesikia kwa wanasiasa huko
.
Panuka ueleweke ukiwa na mifano ya kutosha
.

Bila shaka nawe ni wa kizazi cha Mulugo na ulimaliza form 4 mwaka jana!acha kutoa povu
 
Wewe embu kuwa na staha kidogo kuhusu swala la uandishi wang iyo ni short writtn form or unahc kwenye paper ntaandak X badala ya S nikulembee ww nani NECTA au uliza uambiwe kukwambia NASUBIR post haina maana cna uwezo wa Private MBWINDE ww sasa nasubr post zitoke ili nijue xcl lin ------- ww unajifanya unahacra ka nchi ya mamako na babako KILA MBUZI ATAKULA UREF WA KAMA YAKE pita huko napita huku MXXXX usilete siasa hapa kama unaweza siasa mbna haupo kwenye bunge la katba ukale ela za bure??? BE CARFL mbulula ww
 
kwa uandishi huu mbovu usiojua kutofautisha herufi nna mashaka na perfomance yako mdogo wangu!kwani hamna 's' mpaka utumie' x' na hujui kutofautisha 'r' na "l" wala "h"
kuhusu wewe kufaulu advance wala haiwezi kutokana na matokeo yako ya form 4 bali juhudi zako na usijidanye kuwa utafaulu kwa bahati,advance kama hujui hujui hakuna bahati huko. Kuna watu walikuwa very bright na walitoka na 1 but walirudi na 4 na 0. Kuhusu mchujo wa form 2 naongelea kitaifa wala sio kishule kama yalivyo mawazo yako!kuhusu swala CA kwa private ni possible zaidi maana wako kibiashara zaidi!!
Kwa kuwa umetoka private ni bora uendelee na private na siyo serikalini, huko hakuna spoon feed mdogo wangu.
Maandalizi mema ya kwenda shule.

Then punguza ushamba na kukariri ujinga alie kwambia kuwa PRIVATE school zote wanapewa spoon feedn nani???? Utapotea ww oooh hee mi shule nliosoma NI SWILLA ipo mbeya kaulize uambiwe kama kunaspoon feedn pale. Zaid ukienda mrembo kama ww utaomba kuhama ndan ya frst term watu wanalala masaa 3 daily kule 19hrz wapo kwa class punga ww ujue sasa
 
Bila shaka nawe ni wa kizazi cha Mulugo na ulimaliza form 4 mwaka jana!acha kutoa povu

.
Who knows what a Frog Does under water...
.
umeshindwa kutetea hoja yako bwana mdogo poor you
 
Then punguza ushamba na kukariri ujinga alie kwambia kuwa PRIVATE school zote wanapewa spoon feedn nani???? Utapotea ww oooh hee mi shule nliosoma NI SWILLA ipo mbeya kaulize uambiwe kama kunaspoon feedn pale. Zaid ukienda mrembo kama ww utaomba kuhama ndan ya frst term watu wanalala masaa 3 daily kule 19hrz wapo kwa class punga ww ujue sasa

mimi na wewe nani mshamba?
Anyway am not a form 4 or 6 leaver as u think,,do you thik hiyo swilla kata school nani ataijua,,uache ujinga wako kusema ningekimbia ilhali hujui shule nilizosoma,,sio kila aliyepo humu JF ni mtoto km wewe!!bila matusi huwezi kuchangia?poor kizazi cha Mulugo 11964:...
 
.
Who knows what a Frog Does under water...
.
umeshindwa kutetea hoja yako bwana mdogo poor you

yaani umetoka form 4 juzi and still call me dogo as vile u know me!!jiandae kwenda A level bhana
 
Wewe embu kuwa na staha kidogo kuhusu swala la uandishi wang iyo ni short writtn form or unahc kwenye paper ntaandak X badala ya S nikulembee ww nani NECTA au uliza uambiwe kukwambia NASUBIR post haina maana cna uwezo wa Private MBWINDE ww sasa nasubr post zitoke ili nijue xcl lin ------- ww unajifanya unahacra ka nchi ya mamako na babako KILA MBUZI ATAKULA UREF WA KAMA YAKE pita huko napita huku MXXXX usilete siasa hapa kama unaweza siasa mbna haupo kwenye bunge la katba ukale ela za bure??? BE CARFL mbulula ww

bado hujajua kujenga hoja poor form 4!!nenda kwanza A level upanuke akili,,nani kakuambia huwezi kuchangia bila kutukana?by the way ngoja nkuache ujiandae kwenda shule!!
 
ushamjengea mamaako kibanda cha kulala ww mtumzma mwenye nidhamu bila shaka hujafanya hvyo bas rudi kajpange
 
very simple, palipo na dv1 ni dv 2 palipo na2 weka 3, napalipo na 3weka dv 4,napalipo na dv4 weka0 au5.hivo ufauru ungekuwa 32% na walio fail 68%. hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite ,Mulugo hoooyeeeee!!!!!!!![/QU

yah! Uko sawa ila usimsingizie mulugo wakati hata wizarani hayupo.
 
ushamjengea mamaako kibanda cha kulala ww mtumzma mwenye nidhamu bila shaka hujafanya hvyo bas rudi kajpange

ushauri wako mzuri kama utautendea kazi,maliza elimu ukamjengee mama yako hilo banda sababu mama yangu hakai kwenye banda bali ana nyumba yake!wanaokaa kwenye mabanda ni mifugo km kuku,njiwa,nguruwe nk.
 
Kaka wewe ni mtu mzima na akili zako...
Ume niita mi Form 4 pale juu nime poteza tu mana najua unatania
.
Sasa unapo bishana bishana na mtoto with sense less matters inashusha heshma ya ID yako...
We toka lini mmeanza kubishana mpaka leo ham malizi?
.
Maana tutaanza kukuona nawe kama mtoto vile
.
Hebu mwache dogo afanye mishe zake nawe fanya zako mana una mambo mengi tu yakufanya humu na kujenga taifa.....
.
Ubishi ubishi huu na mazingira yote ya BAN, kwa dogo na yaona sio mda mrefu kama mtaendelea hivi atalipata mana dogo tayali anatumia jazba kujibu comment za watu
.
Punguza munkali...
#Respect
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Respect]#Respect [/URL]

nimekuelewa sana mkuu,pamoja sana
#Respect
 
Back
Top Bottom