Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

Hapa tunatakiwa vile vile kuweka sasa kwamba div. I ya sasa hivi inaanzia ngapi mpaka ngapi? vivyo hivyo kwa madaraja mengine ndo tujue yupi amependelewa. Kusema tu kwamba wa zamani kuliko wa sasa haitoshi tuende mbali zaidi ya hapo. kwa mfano nimejaribu kupiga ya kwangu ya zamani ambayo ilikuwa div. II ya pwent 21 imekuwa ya 22 kwa mfumo wa sasa. Je! kwa sasa pwent 22 ni two au ni one? Tukienda hivyo ngoma ndo itanoga. Maana unawezakuta matoto ya Mulugo yamepiga kuliko sisi wa zamani. Tutumie bongo zetu vizuri wadau!
 
Tunaambiwa kwamba kwa mfumo wa sasa, ukipata F ya hesabu hakuna penalti.
Hii imefanywa makusudi ili wengi zaidi waonekane wamepata I and II.
Usichezee CCM bana!
 
mwenye 2 ya 21 ya zamani yenye c 7 kama c zake ni za 41-50 angekuwa na 3 ya 28 sasa urahisi uko wapi hapo
 

Ww utakuwa ni mmoja kati ya waliobebwa wanaume tulifight mpaka tumefika hapa,na kuwaonesha sisi kama hatukubebwa form six wa mwaka huu na form five ambao wanaingia form six wa sita tutafanya vizuri zaidi kuliko hawa wanaoingia mwaka huu form five coz wamebebwa
 
Umenena, habari ndiyo hiyo Mkuu
 
Shanga eni kidogo huu mfumo mpya ni maumivu mwanadunzi ana point 36 ambayo ni foour na ana credit tatu na D nne ,zamani siange kuwa na three ya 25 huyo,haya ndo nn sasa?
 
Hebu tujaribu kuelewa F ya xaxa hv ina point 7 lazima div 4 iwe na point za 40 huko
 
Mchanganuo wa kisasa ni kwa ajili ya kuwaliwaza wazazi na wanasiasa.
 
Kwa mtaji huu elimu yetu KWISNEI hata huo ufafanuzi uliotolewa hauna mantiki hata punje. Eti walikuwa wanaondoa mlundikano wa alama sasa kwa nini hata thamani ya B imeshuka sana ukilinganisha na miaka iliyopita. NECTA imegeuka uchochoro wa wanasiasa wamekubali kuiua elimu yetu kwa sababu ya njaa zao
Mchanganuo wa kisasa ni kwa ajili ya kuwaliwaza wazazi na wanasiasa.
 
Alama hizi zinatumika hapa chuo kikukuu na lengo ni kupunguza mlundikano wa maksi katika kundi moja,Bumija Phd-udsm
 
Wangetumia mfumo wa zamani matokeo yangekuwa majanga makubwa zaidi kuliko hata yale yaliyofutwa na kupangwa upya
 

NECTA inacheza ngoma nyingi, inacheza ngoma za wanasiasa, wazazi na BAKWATA sasa ili iwaridhishe basi imeamua kutoa hayo ya point 42 ni 0 na point 45 ni IV
 
kjana hesabu yako cio nzuri.Haiwezekan m2 apate credt 3 na D 4 alafu apate dvtion 4 ya 36! Jalbu kuexabu vzul! C3=12 D4=20 hapo uyu atakua 2 ya 32. hupo ee!!!
 
Shanga eni kidogo huu mfumo mpya ni maumivu mwanadunzi ana point 36 ambayo ni foour na ana credit tatu na D nne ,zamani siange kuwa na three ya 25 huyo,haya ndo nn sasa?

kama ndo hvyo matokeo ya sasa mtu kufaulu ni ngumu kuliko ilivyokua hapo awali
 

umenena kwel
 
Shanga eni kidogo huu mfumo mpya ni maumivu mwanadunzi ana point 36 ambayo ni foour na ana credit tatu na D nne ,zamani siange kuwa na three ya 25 huyo,haya ndo nn sasa?

alafu gt anasema 2 mebebwa
 
ungetumika wa zamani ungepunguza idadi ya division one bt ziro zingebaki vilevile
 



Ni kwel mim ni mmoja wao na nna division two point 23 nnaswal dogo katka alama zang ni hizi lamama zang tazama

civc B
geo B
kisw B
englis B
Bios B +
chemi C
physc D
math D
hist D

Naomba unambie sasa kwa mfumo wa zaman ningekuwa na division ngap
kama sikosei ni two point 21 sasa nmebebwa au nmeonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…