Je mfumo wa zamani ungetumika matokeo form yangekuwaje?

alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo, kwa kidato cha nne ni A=80-100,
B=65-79, C=50-64, D=35-49, F= 0-34 kwa
upande wa kidato cha sita A=80-100,
B=75-79, C=65-74, D=55-64, E=45-54,
S=40-44 na F= 0-39.
Alisema mfumo mpya, umehusisha alama
za kidato cha nne na cha sita na kuwa
kuanzia sasa A=75-100, B+=60-74,
B=50-59, C=40-49, D=30-39, E=20-29 na
F=0-19.

tatizo madogo wanachekelea kupata vidision 2 n 1 hawaangalii soko lao la ajira litakuwa unatakiwa ufikilie mbali cokuchelea cheti kizuri angalia kitakufikisha wapi
 
very simple, palipo na dv1 ni dv 2 palipo na2 weka 3, napalipo na 3weka dv 4,napalipo na dv4 weka0 au5.hivo ufauru ungekuwa 32% na walio fail 68%. hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite ,Mulugo hoooyeeeee!!!!!!!!
Au panua mlango wapite wengi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni kwel mim ni mmoja wao na nna division two point 23 nnaswal dogo katka alama zang ni hizi lamama zang tazama

civc B
geo B
kisw B
englis B
Bios B +
chemi C
physc D
math D
hist D

Naomba unambie sasa kwa mfumo wa zaman ningekuwa na division ngap
kama sikosei ni two point 21 sasa nmebebwa au nmeonewa
Kilichokuweka ktk alama hizo ni CA na wala usijipe kichwa umefaulu laiti kama wasingetumia CA ungejikuta kwenye IV ya 28
 
kwahiyo izo CA alikuwa ananifanyia babayang alaf necta nkafanyamwenyew mpka useme zimenibeba???? Au shulen kwenu Academic wenu alikuwa anawajazia matokeo ya uongo so ata uwezo wako ukiwa ni wa D atakujazia A eeeeeh ili Nec Nec wakupitishe si ndiyo Ww usiwe kama hujawah kuingia shule ata dakka mbil maishan mwako au ulisoma GOVERMNT school ww maana nyie ndo hamuish kulalamika cz ni haki yenu Nenda kasome SWILLA MBEYA uonje moto wa makaa ya Mawe ndo utajua kama watu hawakulala ili wafauru mpumbav ww
 
Alaf nlisahau kwahyo unajisifia utapasua form six kwan ww utatumia mfumo hupi sio huu wa CA au sio hizi grade ambazo zitakupitisha????? Sasa kama ndo hvyo na ww c utakuwa umebebwa tu kama mim Fara ww fikir kabla hujanena
 
kwahiyo izo CA alikuwa ananifanyia babayang alaf necta nkafanyamwenyew mpka useme zimenibeba???? Au shulen kwenu Academic wenu alikuwa anawajazia matokeo ya uongo so ata uwezo wako ukiwa ni wa D atakujazia A eeeeeh ili Nec Nec wakupitishe si ndiyo Ww usiwe kama hujawah kuingia shule ata dakka mbil maishan mwako au ulisoma GOVERMNT school ww maana nyie ndo hamuish kulalamika cz ni haki yenu Nenda kasome SWILLA MBEYA uonje moto wa makaa ya Mawe ndo utajua kama watu hawakulala ili wafauru mpumbav ww

Dogo ckiliza mimi matokeo yng ya 4m 4 ckutumia CA lkn nina one ya 16 nadhani kama wangetumia CA ungenikuta kwenye one point 9,xo kwng nakuona kama galasha
kwa hapa nilipo hata wacpotumia CA one lzm nipate sio ww naki two chako cha CA lkn bado kinachechemea angalia xana dogo
 
.
Ulipanga ww matokeo hayo? Au unadhani CA Wameanza leo kuzitumia?
.
Afu wenzako si wako shule
we una mbwelambwela humu utagonga O 4m VI dogo au unasoma arts?

ww kwel mburura kwanza wenye 1 wenzio hawajisifii kama ww fara alaf ckuzote kizur hakisifiwi bal kinaanza kujisfia chenyew kwa mng'aro nina mashaka na iyo 1 yako utakuwa unatulisha matango poli tu myb ww ulipata 3 ya 25 enz yako unajiproud na kama ulipata kwel 1 dis yea 6 utapata four au zero kwan wangap walifauru vzue 4 six wakafel YAN WW NI KILAZA kama unasoma kombi ngumu myb HKL OR HGL ww cz SCIENCE hatuna watu wa dizain yako viraza
 
Mwambie uyo kwanza muulize izo CA walifanya babazetu alaf necta tukafanya ssi ili tufauru na kama tulizifanya ss bas ni nguvu zetu wenyew den hata kama academic anakujazia maksi za huongo hawez kkuwekea A ya Basic Math Wakat uwezo wako ni F akikuhurumia myb akupe D kwa nyie mnaopewa CA za huongo
 
Unanichekesha xana mdogo wng,lkn nickuvunje moyo unaweza ukabebwa kwa.mara nyingine ukatoka,PCB cna neno.na.mtu
 
Naona madogo mnawashiana moto. Kasomeni acheni kulumbana. safari ndo kwanza inataka kuanza.
 
Unanichekesha xana mdogo wng,lkn nickuvunje moyo unaweza ukabebwa kwa.mara nyingine ukatoka,PCB cna neno.na.mtu

Nacheka sanaa cz inaonekana ww wakat unafanya NECT frm 4 Mbeleyako alikaa mtu anaejiweza akakupa bocha chabo cz huna uwezo ww hata wa kufikiria yan u thnk short sightd
 
Kwanza PAPER la SIX Lipo tayar ww upo mjengon sasaiv badala ufuunge buti kamba angaalia utaangukia pua ushndwe kusanse hata aruf
 
Jamani mfumo wa zamani ungetumika, labda hata hili bunge maalumu la katiba lingeahirishwa kwanza, maana MAADA kwenye vyombo habari na mitaani ingekua ni hiyo ( kwa maana wanafunzi wengi wamefeli sana)

Lakini naomba kuuliza ili mtu aende A-Level anatakiwa awe amepata mwisho Div ipi na ya pointi ngapi?
 
Mwambie uyo kwanza muulize izo CA walifanya babazetu alaf necta tukafanya ssi ili tufauru na kama tulizifanya ss bas ni nguvu zetu wenyew den hata kama academic anakujazia maksi za huongo hawez kkuwekea A ya Basic Math Wakat uwezo wako ni F akikuhurumia myb akupe D kwa nyie mnaopewa CA za huongo

ukweli ni kwamba matokeo yenu huwezi kulinganisha hata kidogo na ya mwaka jana,,system ya mwaka jana ingetumika i believe wengi wangeangukia pua,,alaf hiki kizazi cha Mulugo bhana hakiwezi kutofautisha H na U mfano wewe unasema Huongo badala ya Uongo,,kuhusu CA ni kwamba hakuna shule inayopeleka CA mbaya maana mwisho wa siku ni kufelisha shule,mkuu yupi anayetaka kufelisha shule yake?So hata kama mkiyatetea vipi matokeo ya mwaka huu bado ni janga since hata form 2 mlipita bila mchujo..
 
Sasa mbna unajib kama huna mda?????? Kasome Broo tuache ssi tusubir post shaur yako unakaa kupga kelele ka MDADA

unasubiri post za serikali wakati mwanzo uliziponda kwamba zinawajazia wanafunzi CA za uongo,,nawe nenda wakakujazie,alafu usijisifu kwa sayansi na kuwaponda arts maana baada matokeo ya form 6 kutoka huwa hatuulizi hii 1 ya sayansi au arts so jipange maana A level si lelemama!
 
Jamani mfumo wa zamani ungetumika, labda hata hili bunge maalumu la katiba lingeahirishwa kwanza, maana MAADA kwenye vyombo habari na mitaani ingekua ni hiyo ( kwa maana wanafunzi wengi wamefeli sana)

Lakini naomba kuuliza ili mtu aende A-Level anatakiwa awe amepata mwisho Div ipi na ya pointi ngapi?

wapo kwenye mchakato wa kuandaa points maana waliandaa madaraja mapya bila kujielewa
 
Back
Top Bottom