- Thread starter
- #21
nitajie hata chuo kimoja tu cha engineering MwanzaSioni mantiki kanda ya ziwa kuna vyuo vingi sio lazima vya serkali na wasomi wengi tu. Dodoma ni chuo kikubwa kuliko vyote nchini.
nitajie hata chuo kimoja tu cha engineering MwanzaSioni mantiki kanda ya ziwa kuna vyuo vingi sio lazima vya serkali na wasomi wengi tu. Dodoma ni chuo kikubwa kuliko vyote nchini.
Angalaia matokeo ya siku hizi division 4 na 0 ni chache sana, wahitimu wengi wa sekondari wana sifa za kwenda vyuoni lakini wengine ndoto zao zinakatwa kwasababu vyuo vipo mbali, eneo halina exposure ya vyuo, n.k.Mwamko wa kujenga chuo sehemu wakati mwingine inatokana na tabia ya watu wa sehemu hiyo.
Watu wanaendekeza kucheza ngoma na ushirikina unategemea nini.
Pia msije dhani eti chuo kikijengwa sehemu flani wakazi wa eneo hilo watapata fursa kuingia kusoma kiulaini.
Kuingia chuo ni lazima uwe na sifa na vigezo.Sasa utakuta wakazi wa eneo husika hawathamini shule inabidi wadahili wachukue wanaotoka mikoa mingine.
Rejea enzi za mwalimu kufaulu std7 ilitungiwa jina la kisiasa kuchaguliwa.
Nyerere aliibana sana mikoa ya Kilimanjaro na Ziwa magharibi(Kagera).Ili kutoa fursa kwa mikoa mingine kupata elimu.
Walivyokuwa na mwamko wa elimu mikoa hiyo ikaona na isiwe tabu wakajenga shule za kulipia(privates).
Ajabu sasa watu wa mikoa mingine wakawa wanakwenda kusoma Kilimanjaro na Kagera.
Saut sio chuo cha serikali na ni kimelenga zaidi kozi za ualimu, sociology, mass communication.Mwanza wana SAUT na CUHAS bana labda useme wamekosa chuo kikuu cha serikali.
Tabora, kigoma, shinyanga, Rukwa na Katavi hapo hakuna chuo hata kimoja walau kina ishu za Mechanical, Electrical, Civil, Computer Science, Uhasibu, Sheria, Ugavi, Finance kwa level ya bachelor degree hii si hatari kabisa.Kuwa wazi kabisa taja mikoa au kanda zinazoathirika na mgawanyo huu.
Waluguru pamoja na kuwa na muamko mdogo kwenye elimu lakini uwepo wa chuo ndani ya mkoa umewasaidia kuwapa exposure ya kwenda vyuoni kwasababu ya ease of accessibility, sikuhizi ukienda Mzumbe na SUA kuna waluguru wengi tu mkuu hasa wanaomaliza form 4 wanaunga moja kwa moja diploma, times have changed.Unataka kutuaminisha kuwa WALUGURU wa Morogoro wengi wana Ma Degree na Diploma kuwazidi Wahaya wa Kagera na Wanyaki wa Mbeya siyo. Na kwamba Wazaramo na Wakwere wa Pwani na DSM ni wasomi kuliko Wapare wa Same na Mwanga Siyo? na Kwamba sisi Wagogo hapa Dodoma tuna degree za kufa mtu siyo???
Pia kuna Mr. Thomas alitokea La Grange Illinois U.S.A alikuja Tanzania kwa ishu fulani ilitokea kama expert ukiachana na shahada yake ya uchumi alisomea pia diploma ya heavy duty mechanic na kafanya kazi Electromotive Diesel (EMD) kwa miaka mingi ni expert mchafu mno kwenye diesel engine na electrical systems.Ndugu zangu mfano think2 Sumaye ameshawahi kukiri walipokosea.Walianzisha vyuo vikuu vingi kama utitiri bila kuzingatia nafasi za ajira.
Vyuo vimekuwa vingi mno ni ajabu eti madaktari na walimu wanakosa kazi?.
Tulikosea sana kuisahau elimu ya vitendo yaani vyuo vya ufundi.mfano VETA. Sina maana havikuwepo ila hatukuvipa kipaumbele.
Waajiri wengi binafsi siku hizi hawahitaji academics wa longo longo.
Nenda migodini utanielewa wanathamini watu wa vitendoNa wakati migodi inafunguliwa ndio walikuwa wa kwanza kuajiriwa.Na ndio walioshika nafasi za uongozi.Nchi zilizoendelea ni kweli wana vyuo vikuu vingi ila hawako nyuma kwenye mafunzo ya amali.Unakuta mzungu anakuambia yeye ana certificate ya diesel engine tu na ana experience ya miaka 20.Je unategemea wewe umemaliza mechanical engineering na yeye nani atachukuliwa? .
Utawala wa Nyerere japo wanafunzi wa vyuo mfano Dar tech walilalamika kwanini iitwe FTC Lakini aliona hilo mbali kuwe na watendaji na viongozi.
Nimefanya kazi migodini nalijua hili na nimeona mengi.
Dunia ya sasa iko kasi hata watoto wetu wakisoma tuone mbali wanasoma nini.Kwa sasa tuko kwenye AI na techno hama.
Sisi unakuta syllabus inamkaririsha mtoto kujua miji mikuu dunia nzima na kimchora panzi.
Nenda Marekani wanafunzi wao hawajui Geography ya dunia nzima ukimwambia unatoka Tanzania anaweza kukuuliza iko Nigeria au Nairobi?.
Study with purpose not as a prestige.
Sikatai big brains kusoma elimu za juu hawa wataalamu tunawahitaji pia lakini kwa moderate and low brains wasome kinachowastahili.
Acha kuchafua makabila ya watu for the sake of forcing validation to your pointWangoni mrudi kwenu South na Wamakua na Wayao muende zenu Msumbuji na wale Wanyasi waende zao Malawi.🙂🙂🙂 Just a joke. Kuwa na Chuo hakuna uhusiano na kuwa na wasomi wengi. Sisis wagogo hapa Dodoma pamoja na kuwa na vyuo vikongwe hapa mjini kama Mipango, CBE na sasa UDOM na St. John's lakini bado hata darasa la saba tunamaliza kwa taabu sana na kusoma hatujui
DIT Mwanza. Pia SAUT wanatoa Engineeringnitajie hata chuo kimoja tu cha engineering Mwanza
Mkuu hio ni point kubwa sanaTabora, kigoma, shinyanga, Rukwa na Katavi hapo hakuna chuo hata kimoja walau kina ishu za Mechanical, Electrical, Civil, Computer Science, Uhasibu, Sheria, Ugavi, Finance kwa level ya bachelor degree hii si hatari kabisa.
Taifa la Zanzibar sidhani kama limetajwa as a point of reference, amezungumzia kanda si nchi za jirani kama Kenya, Zanzibar, Uganda au Rwanda.Zanzibar chuo kikuu kilikuwepo toka mama akiwa mdogo.Msimsingizie mama wa watu.
DIT Mwanza hakuna hata kozi moja ya Engineering mkuu.DIT Mwanza. Pia SAUT wanatoa Engineering
Kwani umejua kwamba siyo wa hayo makabila niliyoyataja? kama nimejitaja kwamba kuwepo kwa vyuo hakuna uhusiano na usomi na fursa za ajira nimekosea wapi? Huoni kutoka Kagera kwenda Moshi au Dar au Dodoma ni kusoma tosha maana unakuwa umepata na exposure? Nyie vijana wa leo ndo mnataka kuwa kama kuku wa Kienyeji. Vijana wa zamani kutoka Mara kuja Mazengo Technical na Mgogo wa Dodoma kwenda Tanga Technical, Mdigo wa Tanga kwenda Musoma Technical, Mgoni wa Songea kuja Umbwe na Mchaga wa Msohi kwenda Kigonsera wakati Mfipa wa Rukwa akija Galanos tanga na wa tanga akaenda Kantalamba n.k ilikuwa shule kamili maana inajenga utaifa zaidi kuliko kuwa kuku wa kienyeji.Acha kuchafua makabila ya watu for the sake of forcing validation to your point
Pamoja na kuwepo muamko mdogo wa elimu kwa wagogo lakini huwezi kuwashusha kiasi hicho kwa kuwadharau hawajui kusoma na kuandika, have some respect.
Uwepo wa vyuo Dodoma umeleta muamko kwa wanafunzi wanaomaliza form 4 na 6 kwenda katika vyuo vilivyowazunguka, inakuwa rahisi hata kuwashawishi wazazi kupeleka watoto vyuoni.
Zamani ni kweli kulikuwa na tatizo kubwa la jamii nyingi kutoona tija ya elimu lakini sikuhizi watu wanazidi kuona umuhimu wa kupeleka watoto vyuoni, mitandao nayo imechochea sana hata vijana wa mikoa iliyokuwa imedumaa kielimu.
Acha kudharau makabila ya watu mkuu hasa katika kipindi hiki karibia form 4 na form 6 wote mikoa yote wanabutua division 1 hadi 3 na kuwa na sifa za kwenda vyuoni
Hivi degree mtu anaipata kwakua anatokea mkao flani palipo na chuo au ni vigezo vya kufauru tu. Basi Wazaramo na Wagogo ndiyo wasomi wengi nchi hiiMkoa wa Ruvuma ndio umetupwa kabisa kwenye masuala ya vyuo, hakuna chuo kinachotoa Degree,
Duuuh.
Kuna ukweli mkubwa kwenye hoja yako, hasa kuhusu umuhimu wa elimu ya vitendo na kuunganisha elimu na mahitaji halisi ya soko la ajira. VETA na elimu ya ufundi ni muhimu sana, na si lazima kila kijana awe degree holder.Ndugu zangu mfano think2 Sumaye ameshawahi kukiri walipokosea.Walianzisha vyuo vikuu vingi kama utitiri bila kuzingatia nafasi za ajira.
Vyuo vimekuwa vingi mno ni ajabu eti madaktari na walimu wanakosa kazi?.
Tulikosea sana kuisahau elimu ya vitendo yaani vyuo vya ufundi.mfano VETA. Sina maana havikuwepo ila hatukuvipa kipaumbele.
Waajiri wengi binafsi siku hizi hawahitaji academics wa longo longo.
Nenda migodini utanielewa wanathamini watu wa vitendoNa wakati migodi inafunguliwa ndio walikuwa wa kwanza kuajiriwa.Na ndio walioshika nafasi za uongozi.Nchi zilizoendelea ni kweli wana vyuo vikuu vingi ila hawako nyuma kwenye mafunzo ya amali.Unakuta mzungu anakuambia yeye ana certificate ya diesel engine tu na ana experience ya miaka 20.Je unategemea wewe umemaliza mechanical engineering na yeye nani atachukuliwa? .
Utawala wa Nyerere japo wanafunzi wa vyuo mfano Dar tech walilalamika kwanini iitwe FTC Lakini aliona hilo mbali kuwe na watendaji na viongozi.
Nimefanya kazi migodini nalijua hili na nimeona mengi.
Dunia ya sasa iko kasi hata watoto wetu wakisoma tuone mbali wanasoma nini.Kwa sasa tuko kwenye AI na techno hama.
Sisi unakuta syllabus inamkaririsha mtoto kujua miji mikuu dunia nzima na kimchora panzi.
Nenda Marekani wanafunzi wao hawajui Geography ya dunia nzima ukimwambia unatoka Tanzania anaweza kukuuliza iko Nigeria au Nairobi?.
Study with purpose not as a prestige.
Sikatai big brains kusoma elimu za juu hawa wataalamu tunawahitaji pia lakini kwa moderate and low brains wasome kinachowastahili.
degree za peramiho ni za falsafa za kanisa katoliki bhaas!Kwamba peramiho haitoi degree ya falsafa?chimbua utajua
Sijajua kwa zama hizo kama serikali ilikuwa inalipia gharama lakini kwenda kusoma mikoa au kanda ya mbali kuna gharama za nauli zinazohitajika, lakini pia nje ya hapo hizo shule zilikuwa zenye mabweni na chakula hivyo mtu akifika tu kamaliza.Kwani umejua kwamba siyo wa hayo makabila niliyoyataja? kama nimejitaja kwamba kuwepo kwa vyuo hakuna uhusiano na usomi na fursa za ajira nimekosea wapi? Huoni kutoka Kagera kwenda Moshi au Dar au Dodoma ni kusoma tosha maana unakuwa umepata na exposure? Nyie vijana wa leo ndo mnataka kuwa kama kuku wa Kienyeji. Vijana wa zamani kutoka Mara kuja Mazengo Technical na Mgogo wa Dodoma kwenda Tanga Technical, Mdigo wa Tanga kwenda Musoma Technical, Mgoni wa Songea kuja Umbwe na Mchaga wa Msohi kwenda Kigonsera wakati Mfipa wa Rukwa akija Galanos tanga na wa tanga akaenda Kantalamba n.k ilikuwa shule kamili maana inajenga utaifa zaidi kuliko kuwa kuku wa kienyeji.
Sina hakika kama hapa kuna hoja.Serikali ya Tanzania si ya Majimbo, kila taasisi ipo kitaifa, hakuna taasisi za majimbo
Watumishi wa Serikali wanaweza kufanya kazi katika mkoa wowote nchini, bila kujali wanatoka mkoa gani. Kwa mantiki hiyo, fursa za kupata elimu inayowawezesha kuingia kwenye ajira za Serikali zinapaswa pia kuwa na mgawanyo unaozingatia usawa wa kitaifa.
Lakini kumekuwa na hali ya kutokuwepo kwa usawa katika mgawanyo wa vyuo nchini. Kuna mikoa au kanda yenye vyuo vingi, huku baadhi ya mikoa au kanda ikiwa haina hata chuo kikuu cha Serikali.
Matokeo yake, vijana wanaoishi katika maeneo yenye vyuo vingi wanakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Diploma na Degrees zinazohitajika katika kuomba ajira za Serikali, taasisi kubwa, jeshi na sekta nyingine zinazohitaji sifa za kitaaluma.
Vijana wenye uhaba wa mikoa au kanda zenye vyuo huingia gharama zaidi kwenda kusoma mbali
Hivyo swali si kwa nini watu wanapata ajira kutoka mikoa fulani. Swali ni: Je, Serikali imehakikisha kuwa vijana wa mikoa yote wanapata fursa zinazolingana za kupata sifa zinazohitajika kuingia kwenye “System”?
Kama ajira za Serikali ni za kitaifa, je, fursa za kuzalisha sifa zinazowawezesha Watanzania kushindania ajira hizo hazipaswi pia kuwa na usawa wa kitaifa?
Na kama kuna tofauti kubwa katika mgawanyo wa vyuo, je, huo ni uzembe wa mipango, changamoto ya kihistoria, au kuna jambo la kina zaidi linalopaswa kuchunguzwa?
IFM kipoSerikali imelitelekeza jiji la mwanza vyuo vya serikali ni vichache sana nilitegemea kwa jiji kama hili liwe na chuo kikuu sio vicollege