Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,954
- 4,389
Hoja ya kipumbavu hata Kichwa kinajieleza.
Kwani wakati wa selection wanazingatia ukanda pia, au watu wa kanda flan hawaruhusiwa kuapply vyuo flan?
Vijana wasome wafaulu vyuo watapata tu kokote nchini hata nje ya nchi wakitaka.
Mchawi Qualifications na Mtonyo, Acha uchonganishi.