Acha waende mbali waifahamu nchi na watu wake. Wa huko waendako nao waende Mwanza wapate exposure. Utasomaje sehemu moja ngazi zote za elimu?Saut sio chuo cha serikali na ni kimelenga zaidi kozi za ualimu, sociology, mass communication.
Cuhas ni chuo cha kanisa na kimeelemewa kwa muda mrefu na nafasi chache hivyo kuendelea kulazimu watu wengi sana kwenda mikoa mingine,
Ni muda sasa Serikali ijenge hata chuo kikuu kimoja kikubwa hapo Mwanza
Watu wengi wa Mwanza wanaenda mikoani kwa gharama kubwa kusomea engineering, law, udaktari, computer science, n.k.
Kwani kilimanjaro kuna vyuo vikuu vingapi vya serikali? Wachaga waliojaa ofisi nyeti walisomea Kilimanjaro na Arusha vyuo vikuu?Hapa najua wanatafutwa Wachaga kwasababu Kila ofisi nyeti wapo
MmhIFM kipo
ndo hapo sasa, hata Arusha ilibidi kijengwe chuo kikuu, naamini kuna wana arusha wengi na mikoa ya jirani kama Kilimanjaro wangefaidika zaidi kuzidi sasa.Kwani kilimanjaro kuna vyuo vikuu vingapi vya serikali? Wachaga waliojaa ofisi nyeti walisomea Kilimanjaro na Arusha vyuo vikuu?