Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,896
Soma tena, nimeandika hivi "NASIKIA" but again, mimi kama mwananchi sidhani kama ninajukumu la kuanza kujua nani kafanya utafiti na kafadhiriwa na nani, nipo interested na matokeao, kama ni kweli au uongo hilo ni jambo lingine; hapa unazungumzwa ugonjwa, ugonjwa ambao haubagui kwamba wewe ni mwanaume na yule ni mwanamke, kwamba huyu ni sisiemu na yule ni Chadema, kwamba huyu ni masikini na huyu ni TAJIRI; unafyeka tu; muhuni mmoja anaanza kuleta habari za CDM na CCM, anafikiria vizuri?Mkuu unajua utafiti hutegemea unafanywa na nani? na aliyeudhamini ni nani? A