Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,896
Soma tena, nimeandika hivi "NASIKIA" but again, mimi kama mwananchi sidhani kama ninajukumu la kuanza kujua nani kafanya utafiti na kafadhiriwa na nani, nipo interested na matokeao, kama ni kweli au uongo hilo ni jambo lingine; hapa unazungumzwa ugonjwa, ugonjwa ambao haubagui kwamba wewe ni mwanaume na yule ni mwanamke, kwamba huyu ni sisiemu na yule ni Chadema, kwamba huyu ni masikini na huyu ni TAJIRI; unafyeka tu; muhuni mmoja anaanza kuleta habari za CDM na CCM, anafikiria vizuri?Mkuu unajua utafiti hutegemea unafanywa na nani? na aliyeudhamini ni nani? A
Hivi mtu kama Magufoool anapingaje chanjo huku akiwa amesoma PCB na kufaulu mitihani
Mkuu hao jamaa wanajambo lao, na wakiliamua litekelezwe hakuna wa kulipinga.Unajua zile hadithi za chapa ya mnyama nilikuwa nazichukulia kama propaganda lakini siku zinavyozidi kwenda naona kama ni tukio linaloenda kuwa kweli kabisa.
Unajua mtihani ni pale ambapo wageni wataambiwa wasije nchini, na sisi tusitoke hapo ndipo kazi ilipo
Soma tena, nimeandika hivi "NASIKIA" but again, mimi kama mwananchi sidhani kama ninajukumu la kuanza kujua nani kafanya utafiti na kafadhiriwa na nani, nipo interested na matokeao, kama ni kweli au uongo hilo ni jambo lingine; hapa unazungumzwa ugonjwa, ugonjwa ambao haubagui kwamba wewe ni mwanaume na yule ni mwanamke, kwamba huyu ni sisiemu na yule ni Chadema, kwamba huyu ni masikini na huyu ni TAJIRI; unafyeka tu; muhuni mmoja anaanza kuleta habari za CDM na CCM, anafikiria vizuri?
Mkuu hao jamaa wanajambo lao, na wakiliamua litekelezwe hakuna wa kulipinga.
Niliapa sintapima UKIMWI lakini week iliopita nilipima kilazima.
Mkuu hao jamaa lazima watafanikiwa tu, yani tutake tusitake tutachanjwa.
Kuna habari nimesoma sehem inasema WHO wanampango wa kutoa kadi za chanjo ya korona. (Mfano wa kadi ya chanjo ya homa ya manjano) ambayo itatumika katisa safar ya nchi na nchi, yani asie na kadi hiyo hata safiri kwenda nchi nyingine.
Me naona hapa ndio watatukamata wengi.
Pupa kwako ina maana gani dogoShida sio Kusoma PCB shida ni kuyaendea mambo kwa Pupa
Pupa kwako ina maana gani dogo
Ulishawahi kupatwa na umauti dogo labda tuanzie hapoUnaniuliza kama swali la lazima au swali la muhimu?
Ulishawahi kupatwa na umauti dogo labda tuanzie hapo
Sihitaji kutumia akili pindi ninapomuuliza swali mtu anauetumia makalio kufikiri na kuleta masikhara kwenye uhai wa watuUnauliza maswali kama mtu asiyetumia akili Mkuu, samahani kama jibu langu litakuwa baya kwako.
Wasiwasi na Mashaka is one thing..., Giving unsubstantiated beyond reasonable doubt remarks..., quite another...
Kwa wanaopinga wanasubiri wafanyiwe tafiti na wengine ama katika viwanda ni pamoja na vya tafiti..Mkuu unajua utafiti hutegemea unafanywa na nani? na aliyeudhamini ni nani? A
Sihitaji kutumia akili pindi ninapomuuliza swali mtu anauetumia makalio kufikiri na kuleta masikhara kwenye uhai wa watu
Kiukweli huu ugonjwa ni bihashara kubwa xanaaa
1. Majuzi Cad B alikua analalamika kuwa yy n team yake inatakiwa kupima Corona Kila baada y Siku 4 n gharama n 245 kitu Kam hicho per person.
2. Raisi w Marekani alipewa chanjo Mar 2 Je hile chanjo y mara y 1 haikufanya kazi??
3. WHO yenyew haisemi chanjo kama inafanya kazi au laa, Je nikipata njanjo Korona nitaisikia kweny bomba tuu au nitaugua!!, chanjo inafanya kazi maisha yote au lah! Yaan unapata once per lifetime??
4. Naona hiii imekaa kiupigaji pigaji kwa mataifa makubwa, sawa wote tunanyong'onyea kiuchumi kwa ugumu w kufanya bihashara n shughuri z Kila Siku lakini Mataifa makubwa yatainuka tena cos wao ndo wanapesa y ku invest kweny project za chanjo na hata vifaa vy kujikingia, ss mataifa madogo itabid tununu chanjo kutoka kwao na ndo hivo hatujui tutanunua chanjo ngap Je mbili mbili kama Joe Biden??
I stand with my President. [emoji123]
Wapi Hakuna ugonjwa Kama ujaguswa shukuruYaani ugonjwa huu ulivyowakuchekesha, wenye dawa wanalazimisha waathirika kukubali dawa, wakati waathirika ndio wangepaswa waililie dawa
Kwa wanaopinga wanasubiri wafanyiwe tafiti na wengine ama katika viwanda ni pamoja na vya tafiti..