Je, Mhe. Rais anayo haja ya kuwa na wasiwasi na mashaka dhidi ya Chanjo ya Corona?

Hii chanjo ni kwa waafrika pekee au,
 

Kwa hiyo wewe unasemaje mkuu?

Unazijua Conditions za Structure Adjustment Programs (SAP's) Pengine ukizijua hizo utaelewa wazungu ni kina nani
 
Afadhali umesema ukweli kabisa, nami sioni haja ya kumjibu mtu asiyetumia akili pindi anapouliza maswali kwa kigezo chochote akionacho, maana ni sawa na kumjibu Mbuzi anapolia meee!
Kwahiyo umeadmit kuwa unatumia kinyeo kufikiri
 
Wapi nimesema hakuna ugonjwa Mkuu?
Magonjwa yote ni biashara za watu wa viwanda.
Thus ukuambia ndimu ukausha damu means uogope kutumia ndimu wakijua ndimu ni Kinga ya magonjwa mengi na watu wasipougua viwanda vitafungwa
 
Inategemea na chanjo yenyewe.corona ujanja ujanja mwingi.
Hizo chanjo hata huko ulaya na marekani hawazitaki.
Na Wana mwambia bill gates ndo katengeneza Corona ili apige hela
Hivi mtu kama Magufoool anapingaje chanjo huku akiwa amesoma PCB na kufaulu mitihani
 
Jibu kwa nini wazungu hawataki tuzaliane ili idadi yetu ipungue? Kama huwezi kujibu basi na wewe nu mganga njaa tu.
 
Magonjwa yote ni biashara za watu wa viwanda.
Thus ukuambia ndimu ukausha damu means uogope kutumia ndimu wakijua ndimu ni Kinga ya magonjwa mengi na watu wasipougua viwanda vitafungwa

Biashara sio tatizo, ila shida ni kudhuru watu hapo ndipo tatizo lilipo
 
Huna hata reference.Give one ,if any.
Do you want to believe that the most developed countries are also most populated?

Mkuu mbuzi mee! Ukiona nimeandika jambo lolote humu JF usikurupuke kuja kukoment ukadhani ukija na kizungu chako cha check boob ndio nitakuhofia,

Huwezi kuwa taifa lenye nguvu bila kuwa na pupolation kubwa, hiyo haipo, unataka reference ya miaka ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…