Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

jozee jose

Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
52
Reaction score
120
Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi
Jambo la kwanza.

Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto.

Jamii nyingi au kaya nyingi tulizonazo zina mazingira ambayo hupelekea watoto kuwa na mihemko ya kingono zaidi;

Kwa mfano timekuwa na vijiparty mbalimbali ambavyo huwapa uhuru hawa watoto kujitanua zaidi.

Mbaya zaidi wazazi wengi jambo hili wameiachia serikali na serikali ina highlights mtu ateleze na kukamatwa na kutiwa nguvuni.

Jambo la pili, Watoto hawa wa kisasa ndio ambao huwashawishi waume za watu kingono wengine hudiriki hata kuharibu ndoa za watu kimakusudi eti nao wana wivu wa kimapenzi😂😂, watoto hawa hula pesa za bodada, maaskari , madaktari, waalimu, wenyeviti wa mtaa, wazee wenye busara na nk.

Yote tisa Lakini mbona sioni jamii ikitunga sheria namna ya kuwadhibiti watoto?

Kwa nini isiwepo regulations ambazo zitawafanya nao wawe na nambo la kuwatisha kama ilivyo kwa wanaume miaka 30?

Ni nini maoni yako mdau?
 
La kuwatisha wanaume ndio Hilo Hilo la kuwatisha wao pia maana wakiwaza watakupea 30 yrs basi wengine hudanganya au wanakunyima penzi sio kwamba hawakupendi ni ili wakuepushe
 
Miaka 30 cha mtoto, tutaendelea kuwala sana tu..... labda adhabu ingekuwa viboko tisini.
 
Huu uzi umeelezewa kwa kina sana yaani umebalansi pande zote ila naona kama wachangiaji hawajauelewa uzi.
Mtoa mada anajadili kwamba kumekuwa na sheria ya mbakaji au mtu anayefanya mapenzi na wanafunzi/watoto kwenda jela miaka 30 lakini je vitendo vya ubakaji vimeisha au vimepungua?
Na kama havijapungua sisi kama jamii inatakiwa tufanye nini?tuna wajibu gani ili kuhakikisha hivyo vitendo vinakwisha badala ya kufurahia tu mbakaji kaenda jela miaka 30.
Kwa mfano ukitembelea mitaa ya uswahilini utakuta mtoto wa kidato cha kwanza saa 4 ya usiku yupo kwenye vigodoro amejichanganya na watu wazima wanacheza kwa kutingisha makalio na mzazi hana habari au wala hashtuki unadhani ubakaji utakosekana hapo?Kwa hiyo kwa kifupi pia jamii imefeli pakubwa sana kwenye suala la ufuatiliaji wa maadili
 
Unapigwa sate huku nyuma mtoto mimba inatolewa.
 
Kwa nini isiwepo regulations ambazo zitawafanya nao wawe na nambo la kuwatisha kama ilivyo kwa wanaume miaka 30?

Ni nini maoni yako mdau?
P2 ni mkombozi broo.
Hakikisha anameza kabla hujachakata mzigo
 
Back
Top Bottom