Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Jamaa yako kazingua[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yako kazingua[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo we Jamaa ukaamua kucheZea shilingi kwenye tundu la choo siyo!😅😅Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.
Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana.
Baadaye alinilaumu ila mimi nikachukulia poa. Baada ya kulalamika siku moja nikamwambia niko tayari akakataa. Nilimtumia meseji hakujibu nilimpigia simu hapokei. Na kwa kuwa mimi huwa sipendi sana kubembeleza tumemwagana, hatuna mawasiliano ila tukikutana zimebaki salamu tu. Ila kikweli bado namtamani hata leo akisema ananipa game sikatai.
Inaniuma sana mpaka tunaachana sikuwahi kula mbususu yake.
Je, mimi ndiye mzembe au demu ndio kazingua? Ushauri wenu tafadhali
Ngono ndo starehe nzuri kwa mtu yoyote haina mipaka.Nimeamini wabongo tumeendekeza sana ngono ngono ngono yaani sio KE sio ME wote wananiponda kwa kutochakata mbususu. Daaah! Kazi ipo
Ajiandae amekuwa demu,mnara unatakiwa usome 4G muda wote.[emoji2][emoji2] Anasema hadi ajiandae kihisia [emoji23]
😃😃😃Ajiandae amekuwa demu,mnara unatakiwa usome 4G muda wote.
Kijana wa hovyo huyu. Hivi ajui kuwa ameumiza hisia za mwezake!We ndo mwanaume wa kwanza nakuskia unakataa mbususu sababu mda umeenda
Wewe ni falerKuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.
Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana.
Baadaye alinilaumu ila mimi nikachukulia poa. Baada ya kulalamika siku moja nikamwambia niko tayari akakataa. Nilimtumia meseji hakujibu nilimpigia simu hapokei. Na kwa kuwa mimi huwa sipendi sana kubembeleza tumemwagana, hatuna mawasiliano ila tukikutana zimebaki salamu tu. Ila kikweli bado namtamani hata leo akisema ananipa game sikatai.
Inaniuma sana mpaka tunaachana sikuwahi kula mbususu yake.
Je, mimi ndiye mzembe au demu ndio kazingua? Ushauri wenu tafadhali
Nadra sana jamaa kazingua nahisi pisi ilikuwa imesimama kisawasawa akapigwa na bumbuwazi ambalo lilipelekea kukata Moto nihisivyo hata wakati wa hyo romance jamaa akili yake ilikuwa inawaza kweli pisi kali Leo ipo on bed??? Akasahau jukumu namba moja la mwanaume awapo na duuHV inawezekana kabisa kufanya romance halafu bila sababu msisex?????
Naomba msaada WA majibu wanaume.
Daaah acha nikausheTulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.
Pesa nilikuwa nayo ya lodge ila sasa nafsi ilisita kwa kuwa kesho ilikuwa Jumapili na nilikuwa nahitajika kanisani asubuhi sana kuna kazi tulipewa.
Kukumbuka hilo nafsi ikasita kwenda kugegedana. Lakini pia ningechelewa maana pisi ni ya maeneo ninakofanyia kazi Mbezi Beach na mimi naishi Mbezi ya Kimara
Hoja dhaifu sana hizo kiongozi heshima kwa mwanaume haiji kwa kumnunulia mwanamke pombe na misosi tu bali na kuonyesha ulichobarikiwa na mungu kwenye maungo yake.Tulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.