Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

Duuh!! Shule zimefungwa tutakutana na threads za ajabu ajabu sana Sasa!!
 
Wewe ungemfanyia anachotaka hata kwa muda mfupi lakini sio kumuambia eti muda hautoshi. Hata ningekua mimi nisingerudi sababu ningeingiwa na mawazo labda sikuvutii ndio sababu ukagoma. Endelea kupambana ikishindikana tafuta mwingine mana mapenzi hayalazimishwi .
Mwanamke havutii vipi wakati amejinasibu kuwa ni pisi kali! Ok mfano hamvutii si angevuta hata taswira ya Beyonce akung'ute fuko atembee jamaa kazingua au kuna kitu kimejificha hakuna mbususu ikaachwa kizembe hivyo tena mida ya wanga
 
Umenukumbusha nilisafir na dada mmoja very humble tukafkia sehemu moja,room zinakaribiana
Kula tukaenda kula wote tukarudi kulala tukaagana kila moja anaingia chumban kwako sijamtongoza wala kumuonyeshea hisia za mapenzi

Kabla sjabana kitasa alusukuma mlango kwa nguvu na kunikumbatia lkn nilismama kiume sikuonyesha udhaifu ila haikuwa rahisi akarudi kwake

Asubuhi namuamsha hayupo nikaambiwa alihama hotel usiku huo,tumekutana meeting point hataki hata kuitikia salamu
 
Dohhh.. mtoa mada kuna watu wanazitumia nauli mbususu kutoka mikoani uko zije ili wazichakate na wanatapeliwa lakini wewe umepata ngekewa mbususu inataka uichakate unaiacha? kisingizio chako kesho jpili inabdi uwai kanisani kuna kazi umepewa serious kabisa?

Yani amna amna ungepiga ata viwili vya wima wima lakini siyo kuacha mbususu tena ikiwa imelowa? Yani jambo umelifanya wewe aibu naona mimi Dahh[emoji2357][emoji2357]
 
Mwanamke anapoamua kukupa mbususu halafu ukazira huwa anaumia sana na kuona umemdharau na anakujengea chuki.
 
Yaani kwanini ulikataa mbona sababu Yako haina logic, mwanaume ukakataa kupewa utamu kisa ni saa 6 usiku , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii mpya , mlikuwepo wapi wakati wenzenu tunaruka ukuta na kutoroka home kwaajili ya kufuata utelezi (kidding)

Mwanaume hutakiwi kukataa utelezi hata Kwa bahati mbaya hata kama demu humpendi wewe kula tu mengine yata julikana mbele Kwa mbele

All in all huyo demu alikuona Bado una utoto mwingi,,, grow up
 
Man down..man down we need emergency air backup...kwa mm hapo nakuona mzembe sana kwan ww unaujua utamu wa mbunye kwel washka dau wanachakata mbususu ata makaburin we unaleta malingo endelea kufuga joka ivyoivyo
Kmmk kazingua sana [emoji16][emoji119][emoji119]
 
Tulikuwa tumetoka kula bata Juliana Pub Mbezi Beach after romance demu nyege zikampanda alitaka twende tukalale lodge hadi kesho asubuhi.

Pesa nilikuwa nayo ya lodge ila sasa nafsi ilisita kwa kuwa kesho ilikuwa Jumapili na nilikuwa nahitajika kanisani asubuhi sana kuna kazi tulipewa.

Kukumbuka hilo nafsi ikasita kwenda kugegedana. Lakini pia ningechelewa maana pisi ni ya maeneo ninakofanyia kazi Mbezi Beach na mimi naishi Mbezi ya Kimara
Haaa !!! Kmmk [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Una miaka mingapi

You're so childish

Madafaka [emoji1787]
 
Umenukumbusha nilisafir na dada mmoja very humble tukafkia sehemu moja,room zinakaribiana
Kula tukaenda kula wote tukarudi kulala tukaagana kila moja anaingia chumban kwako sijamtongoza wala kumuonyeshea hisia za mapenzi

Kabla sjabana kitasa alusukuma mlango kwa nguvu na kunikumbatia lkn nilismama kiume sikuonyesha udhaifu ila haikuwa rahisi akarudi kwake

Asubuhi namuamsha hayupo nikaambiwa alihama hotel usiku huo,tumekutana meeting point hataki hata kuitikia salamu
KISA cha kumuacha mwenzio na nyege????
 
Back
Top Bottom