makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Leta bila make up, ndio tutoe marks vizuri.
Watu wapo kazini, hebu tusepe zetuuu 😂Kitatulambaaaa!! Tusatukee mwayaaa.
😂😂😂😂😂
Mbaya sana hiii
Matapeli wameingua cha kike awamu hii.
😂😂😂😂😂Tapeli lile ngoja utaliona linajifanya na akaunti nyingine hapa😂
Haya sasa kucheleeeeee, 😂😂😂😂😂
😂😂😂 Ngoja aingie ile akaunti aliotaka kumtapeli makontena Vincenzo JrOya mkuu ELI COHEN amekuja kujijibu mwenyewe bhana 😂.
Kwa kweliii, 😂😂😂😂😂Watu wapo kazini, hebu tusepe zetuuu 😂
EwaaaaHuku hamna hela nenda Instagram
Mkuu si unajua sio wageni hapa jukwanimSio umeiweka kwa ajili ya matumizi yajayo
Na FB tupe jina la akaunti uliyotolea hii picha ili nifanye tatmini ya kina...Kwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama