makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Watu wapo kazini, hebu tusepe zetuuu πKitatulambaaaa!! Tusatukee mwayaaa.
πππππ
Mbaya sana hiii
Matapeli wameingua cha kike awamu hii.
πππππTapeli lile ngoja utaliona linajifanya na akaunti nyingine hapaπ
Haya sasa kucheleeeeee, πππππ
πππ Ngoja aingie ile akaunti aliotaka kumtapeli makontena Vincenzo JrOya mkuu ELI COHEN amekuja kujijibu mwenyewe bhana π.
πππππ
ππππ mungu awe pamoja nasiUna sura nzuri, cheka yako inavutia, rangi yako ni nzuri pia.
Hongera sana kuwa mama wa mtoto, pongezi sana.
Pia picha hii nimeisazisha kwenye simu yangu kama picha ya mvuto nilio wahi kukutana nayo.
Kwa kweliii, πππππWatu wapo kazini, hebu tusepe zetuuu π
EwaaaaHuku hamna hela nenda Instagram
Mkuu si unajua sio wageni hapa jukwanimSio umeiweka kwa ajili ya matumizi yajayo
Na FB tupe jina la akaunti uliyotolea hii picha ili nifanye tatmini ya kina...Kwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama