Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Osama gani huyo aliyeuliwa na Marekani halafu hata maiti haikuoneshwa na mwili wake eti ukageuzwa majivu na kutupwa Atlantic.Allahu akbar alimtelekeza Osama bin laden kule Abottabad Pakistan....akauwawa kizembe
Marekani hawawezekani kwa uongo na kutunga hadithi za vita.Osama alifariki miaka mingi nyuma na hata kaburi lake waliolijua ni wenzake Talibana basi.