Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

Allahu akbar alimtelekeza Osama bin laden kule Abottabad Pakistan....akauwawa kizembe
Osama gani huyo aliyeuliwa na Marekani halafu hata maiti haikuoneshwa na mwili wake eti ukageuzwa majivu na kutupwa Atlantic.
Marekani hawawezekani kwa uongo na kutunga hadithi za vita.Osama alifariki miaka mingi nyuma na hata kaburi lake waliolijua ni wenzake Talibana basi.
 
Aaaaaiiiseeee πŸ™„πŸ™„πŸ™„ kumbe yale yalikuwa maigizo tu? Kweli Obama fundi. Kwa hiyo ule mgogoro wa kidplamasia kati ya Marekani na Pakistan baada ya ile operation yalikuwa maigizo? Kwa hiyo ile kamata kamata kule Pakistan mpaka ya Daktari aliyetumika kusaidia ilikuwa maigizo?
 
Eti gaidi Osama alijifia siku nyingi sasa kama ni hivyo mbona alipouliwa ilipatikana na maiti ya kijana wake na mkewe moja naye mbona alijeruhiwa kwa risasi.?

Watu mkiambiwa imani yenu inachochea ugaidi mnajidai kupinga sasa ona mnavyomtetea gaidi Osama bin Laden, ni kweli kwamba sio kila muislamu ni gaidi lakini ili uwe gaidi ni lazima uwe muumini wa dini hiyo. Hamna jinsi.
 
Hizi ngonjera tunazisikia kila mwaka
 
Allah yupo nasi katika hali yeyote ile iwayo wakati wa raha shida huzni nk
Kuna haja ya kukisoma qisa cha israa na miiraji upate kujua mambo
 
Maigizo kama ya kwenda mwezini.
Marekani ni hodari sana kuigiza kwa kuingiza teknolojia mpya.
 
Leta ushahidi wa kuuwawa kwa osama kama unao
Ugaidi wenu una wafanya msione mambo yaani muna macho lakini hamuoni
 
Allah yupo nasi katika hali yeyote ile iwayo wakati wa raha shida huzni nk
Kuna haja ya kukisoma qisa cha israa na miiraji upate kujua mambo

Ameshawakimbia, hana ubavu dhdi ya Mungu wa Wayahudi, mnauawa kama senene hadi nimejikuta naanza kupata ukakasi dhidi ya Israel.
 
Ameshawakimbia, hana ubavu dhdi ya Mungu wa Wayahudi, mnauawa kama senene hadi nimejikuta naanza kupata ukakasi dhidi ya Israel.
Lazima upate ukakasi sababu unajua huu mwaka lazma wazayuni watatema bungo
 
Ningekua na uwezo ningeua vitoto vyote vya netanyahu na yeye aonje joto la kupotelewa na familia
 
Leta ushahidi wa kuuwawa kwa osama kama unao
Ugaidi wenu una wafanya msione mambo yaani muna macho lakini hamuoni
Kwa hiyo unataka kutuambia Osama yuko mitaani anadunda wakati anaburudika na mabikra 72 akhera.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Osama yuko mitaani anadunda wakati anaburudika na mabikra 72 akhera.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Leta ushahidi acha kurukaruka kama ushapata baraka au tayari niniπŸ˜€
 
Haohao makafiri si ndio waliomponda Yesu msalabani mpaka akafa, baada ya kumuua Yesu si waliendeleza tena kipondo kwa wale mitume wa Yesu.
kwa hio Mungu alichagua upande wa makafiri?
Huyo ni Mungu Jehova yeye utendaji kazi wake ni tofauti kabisa na yule mungu wenu anayepiganiwa na wanadamu (allah).
 
Hakuna ushahidi zaidi wa uliokwisha tolewa au unafikiri anaweza kufa mara mbili.
Ushahidi ulotolewa uko wapi ndio maana nikakwambia ulete
Kama hauwezi kufa mara mbili basi osama pekee ndio binaadam aliekufa zaidi ya mara tano hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…