Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

Gaidi ni msamiati mpya made in America and allies kwa ajili ya kupigana na uislamu,
Osama hakuwa gaidi na wala hakuuliwa na Marekani.
Walimsingizia mengi na kutudanganya sana lakini mwishowe hakuna lolote na wao Amerika hawakupata chochote
Zaidi Marekani kwa uongo wao walijiongezea matatizo na maadui na sasa kwa hekima za Mungu wanazama.
Hata Houth hawawaogopi.
Kwa habari za kutisha Marekani hatukutarajia kupigana na Houth bila kupata ushindi.Pamoja na uduni wa silaha walizonazo wahouth lakini Marekani akirusha na wao wanarusha.
 
Kabla ya US Navy SEALS kumuua huyo gaidi hamkuwahi kukiri kwamba alikuwa ameshafariki na hizi ngonjera zote mlianza kuzusha baada ya kuwa kauliwa na US Navy SEALS.

Anyway, inasemekana kwamba waislam wote ni ndugu hivyo haishangazi kuona mkiteteana katika maovu, but it's very pathetic.
 
Lakini kuna jamaa wa Jordan na tena mwenye heshima na cheo alisema na anasema wazi wazi eneo lile sio la Palestina.......na wale mazayuni pale ndio kwao ..........na hata iweje wale wapalestina watajipa tabu sana pale kwa kutaka Mali isiyo yao
Wapo na mawaziri wakuu wa zamani wa Israel ambao wamesema Hamas haitaweza kushindwa pale Gaza na wapo waisrael wengi sana karibu laki 1 wanataka kurudi makwao kwani wamechoka kukaa kwenye mahoteli.
Wako na ndugu za mateka mara kadhaa wamevamia nyumba ya Netanyahu na bunge la Knesset wanataka vita visitishwe kuokoa ndugu zao kama Netanyahu kashindwa kuwaokoa.
Wapo na wengine wengine nchi za Ulaya na Marekani ambao wanaandamana kuwaunga mkono Palestina kuwa wana haki ya kupata ardhi na uhuru wao kwani pale wana haki na ndipo kwao.
Huyo mjordan na hao mawaziri wa zamani na wa sasa nani wana hadhi zaidi katika serikali zao.
 
Lakini kuna jamaa wa Jordan na tena mwenye heshima na cheo alisema na anasema wazi wazi eneo lile sio la Palestina.......na wale mazayuni pale ndio kwao ..........na hata iweje wale wapalestina watajipa tabu sana pale kwa kutaka Mali isiyo yao
Kwamba huyo jamaa tu umemuamini tena mmoja ila majamaa zaidi ya millions dunia nzima tena wanaoheshimika pia hutaki kuwaamini
Suala la kupata tabu wanapata mpaka sasa ila khatma yao ni kuikomboa ile sehemu yaani hakuna namna
Allah kuna muda anakupa uzito kabla ya kukujaalia wepesi
 
Netanyahu alishasema tangu mwanzo kwamba hivi vita mpaka wafike mwisho wake, Marekani wamejaribu kumshawishi kimya kimya aachie kidogo ila jamaa ameamua kufika mwisho, mlikosea sana kumchezea Myahudi....
Hebu nipe Netanyahu alicho fanikiwa kwenye vita tokea imeanza.

Labda kuwauwa watoto na wanawake na wanaume wasio na hatia yani si wana mgambo wa Hamasi na jihad Al Islam au vikosi vingine alicho fanya pia nikuvunja majumba/hospital kuzuia maji/umeme/ Kuzia chakula na misada tena sio yeye ni Misri na Jordan zaidi ya hapo nini alicho hanya hebu tupe
 
Wewe utakuwa unaliwa na myahudi sio bure maana umezidi sana kujipendekeza kwa hao jamaa,si bure.
 
Suluhisho ni dogo sana, Magaidi ya HAMASI yajisalimishe kama kweli Wana Moyo wa upendo na utu dhidi ya watu wao.
 
unamzungumzia Mungu Aliyemtelekeza Mwanae Kwenye Mateso Msalabani Dhidi Ya Wananchi Wenye Hasira Kali?Ni Suala La Muda Tu Kikubwa Subra
 
Hata HAMASI wengi tu wameshauawa ila Bado wapo, haswa viongozi na wafadhili wao. Tatizo msichukulie Hawa Hamasi kama kikundi kilichokaa eneo Fulani Identifiable, wengi wako kiraia raia, yule unayedhani ni raia kumbe ni Hamasi. Vita ya aina hii huchukua muda sana. But they will be washed out in the End in the name of JEHOVAH the true God.
 
Bwana Netanyahu safari hii amekaza meno Sana hacheki na mukuda kabisa, awalegezee kidogo kama ni funzo tayali wamelipata japokua muarabu sio kiumbe wa kuaminiwa hata kidogo
 
Misri apeleke Jeshi lake Jangwa la Sinai ili iweje? Misri ana ruhusa kufaidika na eneo lile kitalii pia ana wajibu wa kufanya doria kuhakikisha kuna usalama lakini hana mamlaka nalo kiasi cha kupeleka Jeshi.
 

Sasa anaingia Rafa ambapo magaidi ya dini yenu ndio ngome yao ya mwisho Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS
 
Suluhisho ni dogo sana, Magaidi ya HAMASI yajisalimishe kama kweli Wana Moyo wa upendo na utu dhidi ya watu wao.
Wale waliokwishauliwa ndugu zao na familia zao zote kufyekwa au ambao wana vilema na wale wanaokaribia kufa kwa njaa hawajafikiria hilo suluhisho lako.
Gaza wameungana na hakuna aliyewalaumu Hamas kushambulia Israel.Wanachololamika ni njaa pekee.
 
Misri apeleke Jeshi lake Jangwa la Sinai ili iweje? Misri ana ruhusa kufaidika na eneo lile kitalii pia ana wajibu wa kuganya doria kuhakikisha kuna usalama lakini hana mamlaka nalo kiasi cha kupeleka Jeshi.
Haijasemwa Israel anataka kupeleka jeshi Sinai.Anachopiania yeye ni kuwasukuma wapalestina Sinai ili wamuachie Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…