Je, Misri na Jordan watawapokea Wapalestina?

Kujua lugha ya kiarabu kidogo unaona waarabu ni ndugu zako?
Wapalestina pale Gaza ni wakimbizi. Inabidi waondokee ili Middle East pawe na amani.
Trump yupo sawa 100%
Mm mzaramo wa mzenga hicho kiarabu hata sikujui lkn muktadha huu yaonekana unawachukia jamaa sababu ya uarabu wao,,, au na sie wazaramo tuseme dar ni ardhi yetu kwa hiyo wachaga na wakinga wote waondoke hii itaingia akilini kweli
 
Gaza inatakiwa kusafishwa, mahandaki na mabom na hatarishi zote, hawawezi kufanya hayo raia wakiwa palepale. wanatakiwa kuondoka ili pasafishwe afu warudi.
 
Maandiko yapi wakati hao waisrael unaowashobokea hawataki hata kusikia habari za hayo maandiko unayosema lazima yatimie
WAPALESTINA ni wavamizi hapo Gaza

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Haliwezekani kamwe , save hii comment Kisha nitag baadae
Sawa tutarudi hapa ,ila hao WAPALESTINA ni wavamizi hapo

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Gaza inatakiwa kusafishwa, mahandaki na mabom na hatarishi zote, hawawezi kufanya hayo raia wakiwa palepale. wanatakiwa kuondoka ili pasafishwe afu warudi.
WAPALESTINA pale wamevamia eneo la watu

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Musa mwenyewe alikuwa myahudi. na ni nabii wa waislam pia.
 
Kujua lugha ya kiarabu kidogo unaona waarabu ni ndugu zako?
Wapalestina pale Gaza ni wakimbizi. Inabidi waondokee ili Middle East pawe na amani.
Trump yupo sawa 100%
Kama ni wakimbizi si waseme tuu kwao ni wapi?..hivi mkimbizi ubomoe makazi yake..kisha akupishe kwa ahadi umjengee halafu arudi kweli mkimbizi ndo anavyobembelezwa ivo?...hebu wagalatia kuweni na akili kidogo sio mnaleta akili zenu za Papa Francis kaongea na mungu wabarikiwe LGBT..
 
Kwhy hii sura haisemi wapelistina kwao ni wapi si ndio?..mkimbizi gani huyo hasemwi kwao wapi?
 
Unabishana na Allah ?

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Jibu swali weeh mgalatia usidhanie unasoma waraka wa Papa Francis ubarikio kwa LGBT...
Kwao ni wapi hao wakimbizi wa Palestine?
 
Quran haiwatambui kama una Aya inawatambua ilete hapa
Mgalatia kuwa na akili timamu Papa Francis juzi tu katoka kuongea na mungu akaambiwa awabariki LGBT....wezentu mnabonga na mungu...
Sasa si amuulize hawa Palestine kwao ni wapi simple like that...wakimbizi gani kwao hapajulikani?..
Wakimbizi gani hao wanapewa ahadi wajengewe nyumba nzuri?..ulisikia wapi?
 
Huyo musa mwenyewe ni Nabil wa waislam na kabuli lake liko msikitini
 
Mmepigwa vibaya sana ,kabuli la Musa halijulikani lilipo, pili Musa alikuja kufufuliwa na MALAIKA Mikael ,alimtokea Yesu pale mlimani Hebron karibu na kaisaria filipi

Musa ni myahudi wa KABILA la Lawi
 
Jibu swali weeh mgalatia usidhanie unasoma waraka wa Papa Francis ubarikio kwa LGBT...
Kwao ni wapi hao wakimbizi wa Palestine?
Quran yako haiwatambui ,unaniuliza mm

Hao ni wakimbizi kama wakimbizi wengine ,

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Allah anawatambua Israel kwao ni pale ,hao WAPALESTINA hawamtambui

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Jibu swali weeh mgalatia usidhanie unasoma waraka wa Papa Francis ubarikio kwa LGBT...
Kwao ni wapi hao wakimbizi wa Palestine?
Aulizwe Allah ,yeye anasema anawatambua Israel

Hao WAPALESTINA hata kutajwa tu kwenye Quran hawajawahi na hawatambui

Surat Al-Ma'idah (5:21) ambako Nabii Musa (Moses) anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا خَاسِرِينَ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewaandikia, wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…