mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Wala huko tusiende kwnz mana'ke wagalatia akili zao butu wakiongozwa na BamsHuyo musa mwenyewe ni Nabil wa waislam na kabuli lake liko msikitini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala huko tusiende kwnz mana'ke wagalatia akili zao butu wakiongozwa na BamsHuyo musa mwenyewe ni Nabil wa waislam na kabuli lake liko msikitini
MSIKITI wa kwanza umejengwa mwaka 600s baada ya mudy kuleta uislamu,Huyo musa mwenyewe ni Nabil wa waislam na kabuli lake liko msikitini
Ila waraka wa Papa Francis kaambiwa na mungu wabarikiwe LGBT..ni kweli?Uislamu umekuja na mudy ,ndio maana mnadanganywa sana
Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya UislamuIla waraka wa Papa Francis kaambiwa na mungu wabarikiwe LGBT..ni kweli?
Sasa kwa nini unapinga waraka wake wewe na kizazi chako muwabariki mabasha na mashoga?Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu
Ukatoliki ndio walioanzisha uislamu wakimtumia Muhammad
Padre Waraq na bi Khadija aliyekuwa mkatoliki ndio waliompa utume Muhammad
Sasa ndo tuambie basi hao wapelistina kwao ni wapi?...laana yenu wagalatia ni uzushi kama mliweza kwa Yesu kumzushia ni mungu mara mtoto wa mungu..mkachora na picha na vinyago mkamchongea mnaomba wenyewe sahv mnakuja na uzushi Yesu anawatokea na kumuota hamtosheki tuu...Mmepigwa vibaya sana ,kabuli la Musa halijulikani lilipo, pili Musa alikuja kufufuliwa na MALAIKA Mikael ,alimtokea Yesu pale mlimani Hebron karibu na kaisaria filipi
Musa ni myahudi wa KABILA la Lawi
Na hapo sasa miaka hiyo mussa naye alikua myahudi au mkristo...?MSIKITI wa kwanza umejengwa mwaka 600s baada ya mudy kuleta uislamu,
Huyo Musa muislamu atakuwa wakuchonga
Nabii Musa anayejulikana ni myahudi wa KABILA la Lawi, ndugu zake Haruni na Miriamu
Waislamu acheni kutapeliwa
Mbn wewe Papa Francis alivyosema muwabarikie mashoga ulipinga na mshipa wa shingo ukasimamisha...Gaza inatakiwa kusafishwa, mahandaki na mabom na hatarishi zote, hawawezi kufanya hayo raia wakiwa palepale. wanatakiwa kuondoka ili pasafishwe afu warudi.
Daily weeh mwnyw unaongea kiarabu...husemi Dar es salaam au unataka kubisha?Kujua lugha ya kiarabu kidogo unaona waarabu ni ndugu zako?
Wapalestina pale Gaza ni wakimbizi. Inabidi waondokee ili Middle East pawe na amani.
Trump yupo sawa 100%
Askari wa Hama's hawatakuwa wanakufa?.Trump anaota tu ndoto ya mchana. Kuwahamisha Wapalestina kutoka Gaza ni jambo lisilowezekana. Zaidi tu yeye na mpuuzi mwenzake Netanyahu, wataendelea kusababisha maafa kwa wanawake, wazee na watoto wa Kipalestina.
Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya UislamuSasa kwa nini unapinga waraka wake wewe na kizazi chako muwabariki mabasha na mashoga?
Unapinga pinga tuu na ushabarikiwa na Papa Francis na amesema Africa mtaelewa tuu kidogo kidogo mana'ke kama sio wewe basi uzao wako lazima mtakulana ndakongo
Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu, dini ya Uislamu ni plan B ya UkatolikiMbn wewe Papa Francis alivyosema muwabarikie mashoga ulipinga na mshipa wa shingo ukasimamisha...
Na maagizo kapewa na mungu kwa nini ulipinga?...
Unaruka ruka tuu kama mahindi kama Papa ndo alikua injinia wa kuunda uislam sasa kwa nini makaratee yake sahv unayakataa ya kuwabariki mashoga?Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu, dini ya Uislamu ni plan B ya Ukatoliki
Ukatoliki ndio walioanzisha uislamu wakimtumia Muhammad
Padre Waraq na bi Khadija aliyekuwa mkatoliki ndio waliompa utume Muhammad
Upapa ndio waanzilishi wa dini ya UislamuUnaruka ruka tuu kama mahindi kama Papa ndo alikua injinia wa kuunda uislam sasa kwa nini makaratee yake sahv unayakataa ya kuwabariki mashoga?
Hakuna wa kuwaondoa wapalestina pale Gaza Wala West Bank watawapiga mabomu wafie pale hakuna atakaenyanyua mguuWakikubali kuondoka tu basi hawatarudi tena gaza milele
Quran haiwatambui WAPALESTINA kama una Aya leta sheikh acha porojoSasa ndo tuambie basi hao wapelistina kwao ni wapi?...laana yenu wagalatia ni uzushi kama mliweza kwa Yesu kumzushia ni mungu mara mtoto wa mungu..mkachora na picha na vinyago mkamchongea mnaomba wenyewe sahv mnakuja na uzushi Yesu anawatokea na kumuota hamtosheki tuu...