hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #81
Quran yako inawatambua kwao ni wapiSasa hueleweki tufuate Quran vipi wkt unaipinga na unasema imeletwa na waarabu...hasa hasa mtume Muhammad (S.A.W)....leo hii unasema tena ndo imeandikwa na Quran...
Eti dunia nzima wapelistina tuu ndo hawajulikani kwao ni wapi mgalatia ukapimwe akili...yanii hata mende ana makazi yake lkn tokea dunia iumbwe wapelistina tu ndo hawajulikani kwao ni wapi?
Acha kudanganywa ,kaburi la Musa halijulikani lilipo kwa mujibu wa maandiko ya Tanakh
Hao ni wahuni