yaan umetumia maneno mengi kuongea uongo usio na kichwa wala miguu.... zile ni waya za umeme tu hamna waya za data kwenye line za tanesco.... simple physics ya o level kaka!!!
Wewe ndiye mjinga zaidi mkuu.
Hizi meter za luku manufactures waliona itakuwa tabu tena kuzitengenezea communication system ya peke yake itakayojitegemea, kama vile Wireless n.k
Hapo ndipo wakaona communication ya meter na server zao Tanesco iwe kupitia zile Nyaya za umeme, na ndizo zinazotumiwa kutuma request zote ikiwemo ku decrypt token.
Hii transimition inaitwa PLC "power line communication" au PLT "power line telecomunication" au PLT "power line networking" ambapo data zinakuwa injected kutoka kwenye hizo hizo nyaya za umeme, ambazo ndio huwa kama main communication chanel ya hizo mita na server za tanesco.
Data zinakuwa injected kupitia ki device kidogo tu ambacho ndicho kinafanya access control nzima yakuchukua data ambazo zimekuwa calculated kwenye mita nakuwapa Tanesco nao wafanye calculation zao, na wao tena kutuma data kwenye mita, au ata massage kwamba unit zako zinakaribia kwisha, lakini hii ni kwa baadhi ya digital meter.
Kifaa hicho kinaitwa PLM "powerline Modem" angalia hiki hapa.
hiyo ni structure yake na huu ndio muonekano wake mzima.
Hiyo ndo receiver na transemeter mliyokuwa mnahitaji kuijua hapa.
Addition
- Meter zinaonekana kuwa nyingi na tofauti tofauti, lakini ni sawa tu na kuwa na simu tofauti lakini zinatumia android.
Meter zote Tz zinatumia mfumo wa STS yaani standard Transfer system ambapo meter zote zinakuwa designed kwakutumia cryptography na cryptography keys za aina moja ili kufanya decryption ya zile Token unazopewa.
Maalezo kuhusu Token, soma alichoelezea
ISO M.CodD , ukichanganya na nilichoelezea hapa, usipoelewa litakua ni tatizo lako binafsi.
Wafanyakazi wengi watanesco nao hawaelewi kinachofanyika.
snipa