Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya wapumbavu, utawasikia Magufuli alituziba midomo,wakati walitukana tani zao zoteSijaona kokote mmliki wa ndege iliyopata ajali akisemwa na kutakiwa kuwajibika- ANA MIFUKO MIKUBWA KIASI GANI MPAKA KAHONGA KILA MTU KILA MAHALI
Mkuu ni sawa, kila muhusika atawajibika kujibu- sasa sisi great thinker na key board warrior tumekwama wapi? mbona tumeshindwa kuwanza kama wale wazee waliopanga mambo haya 1948Ndege sio sawa na daladala wewe ndio maana hata walioitengeneza wameingia kwenye uchunguzi. Kama ni ubovu wa ndege basi na serikali (Mamlaka ya usalama wa Anga) itawajibika ilikuwaje ndege mbovu iliruhusiwa kuruka. Mmiliki wa ndege usimfananishe na Mmiliki wa Balaji au school bus
Unaseamake mkuu- ebu ongeza MWANGA.Ile ndege ni mali ya shirika binafsi, kama ni kuwajibishana wana taratibu zao za ndani wakiona umuhimu wa kufanya hivyo watafanya, ingawa serikali kwa upande wao naona wameona hakuna haja hiyo na kuiruhusu kampuni kuendelea na safari zake.
Muhimu ni wahanga wa ajali walipwe fidia, na kulingana na taarifa zinazoenea mitandaoni kwa sasa, taratibu zinafanyika wapewe haki zao.
Kwani haikuwepo?Tatizo sio ajali.. ajali inaweza kutokea hata ndege Mpya tu inatoka kiwandani kwenda test inaweza kupata ajali.. issue ni emergency team ya airport ilikua wapi..
FB nayo si ni mitandao ya kijamii kama sikosei- utanisahihishaHili jukwaa halikufai, hapa wanahitajika GT pekee, nenda FB
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Nyie mataahira wa CCM ndiyo mna uwezo mdogo wa kuchambua mambo ya maana,mnachoweza ni kumuabudu yule dhalim aliyeko jehanam.Mkuu nimeona na ninashangaa sikutegemea tunauwezo mdogo wa kuchambua mambo kiasi hiki. Hili lilianza nyuma kidogo na ni aibu
Mkuu, mmiliki ni muhusika mhimu sana kwenye hiliMkuu Precision Air ni kampuni iliyosajiliwa kwenye daftari la makampuni na kupata kutambulika kama anavyotambulika mtu binafsi. Kampuni ikikosa kutimiza masharti yaliomo kwenye usajili wake hushitakikiwa kisheria bila kumhusisha mmiliki wake kama haendeshi kampuni. Kwenye ajali hii watakaopata msukosuko sana ni wale wanaoeindesha hiyo kampuni. Mmiliki unamshambilia kwa lipi?