GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Mkuu, mimi ni mmiliki wa kampuni ya Precision Air kwa kiwango cha hisa nilizonunua kwenye kampuni hiyo. Ajali imetokea na imeuwa watu na chombo cha usafiri kimeharibika vibaya, sasa kunisema mimi nisiyehusika kwenye uendeshaji kunakusaidia nini?. Narudia kama mmiliki ndiye mwendeshaji wa shughuli zote za kampuni atawajibika kwenye kitengo chake,na sio umiliki wake.Mkuu, mmiliki ni muhusika mhimu sana kwenye hili
soma hii
na kama sisi humu tumshindwa kumgusa- sisi sote ni wajinga wa kutupwa na ni aibu namna tunavyofikiri na kuchambua mambo. siku zote ninasema sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka makubwa na namna tunavyofikiri. Aidha badala ya kufikiri tuna waza.