Je, mke wako hakuongeleshi?

Umenifurahisha
 
Nakaza kwa kutumia tie rod hand Na wish born vifaa madhubuti vya kukazia, je unavijua?
Hahaa. Sasa muda wa kuhangaika na yote hayo si bora tu unibembeleze mnuno uishe.
 
Mmmh! Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Akija huyo bodaboda wake nakukaribisha kwa bashasha huku nikiwa nimeshika ky jelly mikononi nikimwelekeza Aje chumbani. Alazima afurahi Na roho yake
 
Duuh. Kubembelazana muhimu bana hayo ya kupandana kichwani inategemea Mkuu.
Basi ntakubembeleza sweet heart, Ila machozi yakinitoka wakati wa kukubembeleza usiende kuwasimulia kibarazani maana nao watatamani, watataka niwabembeleze hadi machozi yanitoke tena
 
Hahahahaha Utapasua chupa ya chai rafiki




Cc Smart911
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakubali kukazwa kweli huku kanuna, au ndio atachukua mkuyenge na betri zake auvute kwa hasira…
Kumkaza alienuna there are two things involved 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…