Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Nakaza tena, Na safari hii ntatumia zana ya kukazia iitwayo stabilizer linkSi ukifungua nauchuna tena....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaza tena, Na safari hii ntatumia zana ya kukazia iitwayo stabilizer linkSi ukifungua nauchuna tena....
UmenifurahishaHahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Hahaa. Sasa muda wa kuhangaika na yote hayo si bora tu unibembeleze mnuno uishe.Nakaza kwa kutumia tie rod hand Na wish born vifaa madhubuti vya kukazia, je unavijua?
Hahahaa. Furahi tu Mkuu.Umenifurahisha
Siku mume wako mkinuniana naomba kuja kukusaidia kubadilisha bulb maana fani yangu ni umeme.Hahahaa. Furahi tu Mkuu.
Akija huyo bodaboda wake nakukaribisha kwa bashasha huku nikiwa nimeshika ky jelly mikononi nikimwelekeza Aje chumbani. Alazima afurahi Na roho yakeMmmh! Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Hahahaaa. Sawa Mkuu.Siku mume wako mkinuniana naomba kuja kukusaidia kubadilisha bulb maana fani yangu ni umeme.
Nikikubembeleza utanipanda kichwaniHahaa. Sasa muda wa kuhangaika na yote hayo si bora tu unibembeleze mnuno uishe.
Duuh. Kubembelazana muhimu bana hayo ya kupandana kichwani inategemea Mkuu.Nikikubembeleza utanipanda kichwani
Basi ntakubembeleza sweet heart, Ila machozi yakinitoka wakati wa kukubembeleza usiende kuwasimulia kibarazani maana nao watatamani, watataka niwabembeleze hadi machozi yanitoke tenaDuuh. Kubembelazana muhimu bana hayo ya kupandana kichwani inategemea Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we Buji umenifanya niangue kicheko.Unawajua wanawake wenye gubu? Mwaga mahitaji yako, anawagawia majirani.
Hahahahaha Utapasua chupa ya chai rafikiHahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.
Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Solution ni kumkaza alienuna
Hahaa. Hapo nakuwa sitaki kuharibu mnuno wangu rafiki hivyo itabidi nijitahidi tu.
kumbakaKumkaza unamaanisha kumtia???
Kumkaza alienuna there are two things involved 😀[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakubali kukazwa kweli huku kanuna, au ndio atachukua mkuyenge na betri zake auvute kwa hasira…