Je, mke wako hakuongeleshi?

Je, mke wako hakuongeleshi?

Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Umenifurahisha
 
Mmmh! Wanawake wenyewe hawa? Utamkuta ameenda kumtafuta Bodaboda amfungulie Mfuniko wa Chupa la Chai..,
Akija huyo bodaboda wake nakukaribisha kwa bashasha huku nikiwa nimeshika ky jelly mikononi nikimwelekeza Aje chumbani. Alazima afurahi Na roho yake
 
Duuh. Kubembelazana muhimu bana hayo ya kupandana kichwani inategemea Mkuu.
Basi ntakubembeleza sweet heart, Ila machozi yakinitoka wakati wa kukubembeleza usiende kuwasimulia kibarazani maana nao watatamani, watataka niwabembeleze hadi machozi yanitoke tena
 
Hahahahaa. Mie kigumu kwangu labda kama taa ya sitting room itakuwa imeungua ndio naweza kuita unisaidie kuweka nyingine sababu mie mfupi na muoga pia.

Ila hivyo vingine vyote nitalazimishana navyo weee mpaka niweze kuvifungua ilimradi nisiharibu mnuno wangu. Hahahahaaa. Duuh.
Hahahahaha Utapasua chupa ya chai rafiki

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom