Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.
Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?
Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma itakuwaje?
Au ndio urefu wa kamba wenyewe huu?
Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?
Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma itakuwaje?
Au ndio urefu wa kamba wenyewe huu?