Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

How do you know that?
And how can you tell if she's using or spending public funds?
I know because she has used a public title to entertain public figures otherwise she could have used her names to invite them!
 
Ukiishi kwa chuki maisha haya utakufa mapema.

Mkurugenzi kufuturisha mbona jambo dogo sana? Makampuni yote kwenye manispaa yanachukuwa tender kwake unadhani anaweza kushindwa kufadhiliwa futari ya millioni 4 au 5?
Sasa si atumie jina lake badala ya cheo chake! Mungu anampima yeye na siyo cheo wala ofisi yake!
 
Sasa si atumie jina lake badala ya cheo chake! Mungu anampima yeye na siyo cheo wala ofisi yake!
Huwa nashindwa kuelewa nikionaga mtoto wa kiume anamlilia wivu mtoto wa kike, ni aibu kubwa.

Wanawake kwenye uongozi hawana kashfa za ufisadi, do ur home work.
 
Wacha wivu usiokuwa na msingi. Ukiwa mkurugenzi au mwajiri ni muhimu pia kuimarisha mahusiano ya kikazi kwa mbinu tofauti tofauti. Kufuturisha ni jambo la kawaida tu
 
Huwa nashindwa kuelewa nikionaga mtoto wa kiume anamlilia wivu mtoto wa kike, ni aibu kubwa.

Wanawake kwenye uongozi hawana kashfa za ufisadi, do ur home work.
Una miaka mingapi ya kuzaliwa? Ufisadi ni pamoja na kutumia cheo chako vibaya!
 
Wacha wivu usiokuwa na msingi. Ukiwa mkurugenzi au mwajiri ni muhimu pia kuimarisha mahusiano ya kikazi kwa mbinu tofauti tofauti. Kufuturisha ni jambo la kawaida tu
Katika hilo tungempongeza kama angejumuisha watumishi wengine wa halmashauri na siyo hao wanasiasa pekee!
 
Kuna tatuzo gani??si umfuate umwambie unaleta malalamiko jamii forum je asipo soma??mpuuuzi sana mleta mada.
 
Hatutaki sensa si mliambiwa hii sio nchi ya kidini, hatuwezi kutumia resources za serikali kukusaidia wewe kujua una waumini wangapi kwanini msifanye wenyewe na maustadhi wenu. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba hio movement yenu ilikua kipindi 2012 kipindi cha Mkwere ustadhi mwenzako.

Hutaki maana yake kuna sababu ya kutotaka. Mnajua waislamu ni wengi ila hofu yenu 😁 pole sana kijana
 
Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.

Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?

Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma itakuwaje?

Au ndio urefu wa kamba wenyewe huu?
Anafuturisha kama Mkurugenzi/Halmashauri au Yeye kama yeye binafsi?
 
Itaendelea vipi chini ya Tanzania bara? Hebu wajitegemee uone itavyonawiri.
Commoro ipo chini ya nani?
Nini kipo Zanzibar ambacho Commoro hakipo?
Usijidanganye dini haileti maendeleo ndugu.
 
Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini
Tatizo la sheria za rushwa Tz hazijatafsiriwa vizuri.

Rushwa ni nini?

Sheria ya rushwa imegusia juu juu tu na kuacha mianya na mambo mengi ya msingi ya rushwa!

Anaita kufuturisha viongozi ambao wanaweza wakamsakama katika utendaji wake wa kila siku na kukosa imani naye!

Sasa hiyo wadau kwanini wasiione ni rangi kama siyo harufu ya rushwa?

Ujue, kitu kidogo kama tabasamu inaweza kuhesabiwa kama ni rushwa kutokana na anayeitoa anaitoa katika mazingira gani!

Hata kule kukonyeza yaweza kuhesabika kubaka kutegemea na "respond" ya unayemkonyeza, haujasikiaga Wabunge wakijadili hili!

Ebanaee, futari hiyo ni rushwa!
 
Back
Top Bottom