Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Cheo chako hakifungamani na imani yako ya dini na thawabu utakayopata haitokani na cheo chako! Kumbuka kufanya ibada unawasiliana na Mungu!Hii ni mujibu wa Sheria au Kanuni ipi kwamba ukitumia cheo basi lazima fedha za ofisi zitumike na ukitumia jina lako basi unatumia fedha zako binafsi?
Ni logic tu wala haihitajiki kanuni yo yote!