Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini
Hivi kwa mfano ukiamua kununua nyama kilo 100 na kwenda kuwapa mbuzi wanaoteseka huko mitaani kwa kukosa wa kuwapa chakula lengo lako litakuwa limetimia? Kila siku mashehe wanasema futari bora ni ile inayotolewa kwa wenye uhitaji huo, wale ambao hata kupata kikombe cha uji au kokwa moja ya tende kufuturu ni shidaaa...
 
Siku Wagala wakikamata nchi wakafanya yao ya Kioaimara sitarajii kusikia kelele toka kwa ndugu zetu wa damu
 
Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini
Sawa ana hela sasa atumie jina lake kualika watu na siyo cheo chake!

Kwa kutumia cheo chake kualika watu ni wazi zitakazotumika ni fedha za umma na siyo hela yake!
 
Umejuaje kwa hela ya serikali? Tangu ramadhan imenza ni mwendo wa kutushambulia waisilamu. .
Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?
 
Mkurugenzi sio mwanasiasa kwanini awaite viongozi wa CCM?
Unaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwanini asingefuturisha walimu au manesi ?
Usimpangie na hela yake mkuu, mwache aitumie anavyoamua. Pia moderators waangalie sio kila uzi ni uzi nyingine zinaharibia watu reputation na kazi zao.
 
Usimpangie na hela yake mkuu, mwache aitumie anavyoamua. Pia moderators waangalie sio kila uzi ni uzi nyingine zinaharibia watu reputation na kazi zao.
Siyo fedha zake ni fedha za makusanyo ya halmashauri!
 
Sawa ana hela sasa atumie jina lake kualika watu na siyo cheo chake!

Kwa kutumia cheo chake kualika watu ni wazi zitakazotumika ni fedha za umma na siyo hela yake!
Hii ni mujibu wa Sheria au Kanuni ipi kwamba ukitumia cheo basi lazima fedha za ofisi zitumike na ukitumia jina lako basi unatumia fedha zako binafsi?
 
Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?

Kuwaambia watu mmealikwa na mkurugenzi wa manispaa kuna shida? Na umejuaje anatumia fedha za umma? Mimi na wewe hatujui, ivyo tusimshuku.
 
Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.

Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?

Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma itakuwaje?

Au ndio urefu wa kamba wenyewe huu?
Naona lililokuudhi ni Kufuturisha na sio matumizi.
 
Mkurugenzi sio mwanasiasa kwanini awaite viongozi wa CCM?
Unaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwanini asingefuturisha walimu au manesi ?

Wabongo wengine bana,,mnapenda kulalamika.

Kama imekuuma mfuate mwenyewe na umhoji kisha utuletee mrejesho kama ni fedha zake or za serikali.
 
Wewe mbuzi kweli, kwani alisema anatumia kodi yako au pesa zake binafsi?
Yaani mtu na akili zako unashindwa kutofautisha maisha ya kazi na maisha ya mtu binafsi

Mtu anafanya kazi analipwa mshahara mkubwa (pesa zake binafsi sio kodi yako) anaamua kutumia anavyotaka mwenyewe kama atanunua malaya au kufuturisha. au wakurugenzi wa manispaa hawalipwi mshahara?

wewe huku unampangia jinsi ya kula jasho lake mwenyewe mpaka unapanic! are you serious?
Haya na mimi nasema kwanini pesa yako uliyolipwa ya mshahara umenunulia vocha? hayo ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?

Use your brain goddamnit.
 
Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?
Mimi nikiamua kufuturisha na kusema mnaalikwa kwa yule mfanyakazi wa HouseMaker company maana yake natumia pesa ya company?
Au kuna askari ameamua kufuturisha basi anatumia pesa za jeshi?

Nyie watu akili zenu mmezipeleka wapi?
Where's your damn brain?
 
Siku Wagala wakikamata nchi wakafanya yao ya Kioaimara sitarajii kusikia kelele toka kwa ndugu zetu wa damu
Kwa akili zako kabisa unafikiria pesa zake za mshahara alizoamua kufuturisha ni za kwako au za serikali?
What the hell?
 
This thread is the right definition of a "piece of shit." fukcing retarded content.
Seriously unaanzaje kuwa na upeo mfupi namna hii?
 
Mimi nikiamua kufuturisha na kusema mnaalikwa kwa yule mfanyakazi wa HouseMaker company maana yake natumia pesa ya company?
Au kuna askari ameamua kufuturisha basi anatumia pesa za jeshi?

Nyie watu akili zenu mmezipeleka wapi?
Where's your damn brain?

Kutumia cheo chake imekua nongwa 😁 labda alitaka atumie jina lake kualika wageni na sio "Mkurugenzi wa manispaa" 😁
 
Ushahidi wakati hamtaki sensa 😁 kwa kuhofia tumewazidi,,pole sana nkoi
Hatutaki sensa si mliambiwa hii sio nchi ya kidini, hatuwezi kutumia resources za serikali kukusaidia wewe kujua una waumini wangapi kwanini msifanye wenyewe na maustadhi wenu. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba hio movement yenu ilikua kipindi 2012 kipindi cha Mkwere ustadhi mwenzako.
 
Back
Top Bottom