igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hivi kwa mfano ukiamua kununua nyama kilo 100 na kwenda kuwapa mbuzi wanaoteseka huko mitaani kwa kukosa wa kuwapa chakula lengo lako litakuwa limetimia? Kila siku mashehe wanasema futari bora ni ile inayotolewa kwa wenye uhitaji huo, wale ambao hata kupata kikombe cha uji au kokwa moja ya tende kufuturu ni shidaaa...Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini