kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi ni kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu