Njaa yako mimi inanihusu niniUnanitia njaa tu mzee ulitakiwa tukuone kisutu sio huku kwenye vidole na id fake...
Kwani leo hamjaandika bajeti ya operation zenu kwenda kupoteza wakosoaji wa chura kiziwi ?
Njaa yako mimi inanihusu niniUnanitia njaa tu mzee ulitakiwa tukuone kisutu sio huku kwenye vidole na id fake...
Mweka hazina na mwandishi ni wewe kwa hiyo ndio maana nakwambia unanitia njaa...Njaa yako mimi inanihusu nini
Kwani leo hamjaandika bajeti ya operation zenu kwenda kupoteza wakosoaji wa chura kiziwi ?
Kwani chura kiziwi amevunja lile fungu la watekaji wa mama?Mweka hazina na mwandishi ni wewe kwa hiyo ndio maana nakwambia unanitia njaa...
hakuna atakayekwenda kupiga kura Lissu akiwa jera na hata akitolewa atahamasisha tusipige.Raila amepitia sana hii misukosuko,hadi kupata katiba mpya Kenya,Aliwashauri hawa ndugu wafanye mazungumzo.Mtu wa kwanza kuanza kutukana mazungumzo hadharani ni Lisu akisaidiwa na wanamitandao ya kijqmii.Hakujua mwenzake yaliyompata hadi kuamua kufanya mazungumzo.Ngoja tuone atazuiaje uchaguzi na mimi najifunza jamani.
Njaa inakujaje na we upo ofisini, muda wa kura si mnapokezana.Unanitia njaa tu mzee ulitakiwa tukuone kisutu sio huku kwenye vidole na id fake...
Njaa kwa maana ya maongezi hayana mpango...Njaa inakujaje na we upo ofisini, muda wa kura si mnapokezana.
Mwache akae huko kidogo,Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi ni kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Lissu ni wale vibaraka wanaotumiwa na nchi za magharibi wanaoamini Afrika ni mali yao. Ukisikia Trump anatoa amri Ibrahim Traore akamatwe watu aina ya kina lissu ndio wanategemewa wamkamate au kumuua. Afrika inahitaji mifumo na viongozi wanaoleta maendeleo kwa wananchi wake na sio kufuata kikasuku demokrasia ya kiliberali inayotoa mwanya ubeberu wa kimataifa kupitia mabepari uchwara wenyeji kuwanyonya umma wa wananchi na kuwafukarisha.Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi ni kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Umeandika vyema....Lissu ni wale vibaraka wanaotumiwa na nchi za magharibi wanaoamini Afrika ni mali yao. Ukisikia Trump anatoa amri Ibrahim Traore akamatwe watu aina ya kina lissu ndio wanategemewa wamkamate au kumuua. Afrika inahitaji mifumo na viongozi wanaoleta maendeleo kwa wananchi wake na sio kufuata kikasuku demokrasia ya kiliberali inayotoa mwanya ubeberu wa kimataifa kupitia mabepari uchwara wenyeji kuwanyonya umma wa wananchi na kuwafukarisha.
Mwacheni mwamba apumzike amefanya kazi kubwa sana ndani ya miaka 20....Mwache akae huko kidogo,
Mbowe ndo kwaanza anapuliza kuni.