Je mpaka muda huu Lissu ana amini wapo wananchi wa kukinuksha wafuasi wa chadema waingia mitini

Hukumsikia mwenyewe akisema kufungwa kwa mtu kama yeye ni nini? Unataka wanachama wkashindane na watu wasio na akili walioshika bunduki? Usiwe na kiherehere, tulia uone mambo yanavyokwenda.
Wazee wa KAZI waliposema ILANI ILANI nikaona nyumbu wanalala mbele. Hovyo kabisa
 
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...

Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..

Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..

Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Watu hawataki kuvunjwa mifupa wanafamilia inawategemea.
 
Mchokozi aliyesema atafanya uasi hivyo ziba ufa kabla hujajenga ukuta yeye makazi yake ni amerika na ubelgiji
Thibitisha makazi ya Lissu ni Amerika na Ubelgiji.

Uchokozi ni upi?

Huo uasi Lissu alisema angefanya namna gani ?

Alisema ataunda militia , atafanya uasi binafsi au uasi wa kukodi jeshi?
watu wameapa kutetea jamhuri ya muungano wa tanzania na katiba yake
Wataapaje kuitetea katiba au Jamhuri hadi pale inapokosea ?

Unaapa kuilinda katiba wakati matendo unayofanya ni ya uvunjifu wa katiba?

Katiba imetoa haki ya mikusanyiko wewe unaenda kupiga watu walioshika maji ya kunywa na simu unasema unalinda katiba , kwa mtindo huo si tutaamini hata division 4 uliyopata na kufeli somo la uraia ulistahili maana unaapa kulinda kitu halafu wewe ndio unakivunja.
..kila ajaye kwa shari dola itamdhibiti na kumshughulikia kama ni uasi akafanyie kwenye nchi yake ubelgiji au marekani...
Unaweza kuthibitisha pasina shaka kuwa watu waliohamasishwa kuja kusikiliza kesi ya mwenyekiti wao mahakamani walikuja kwa shari?

Na kama walikuja kwa shari kwanini polisi haikuwakamata?

PGO inasema mtu akikamatwa Dar es Salaam apigwe na kutupwa maporini Bagamoyo?

PGO inasema waandishi wa habari wapigwe na kuzuiwa kuripoti kesi yenye maslahi ya umma?
 
...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..

Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..

Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
We jamaa huwa unachekesha sana!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe mku...u uwe unatafakari basi siyo kuandika tu kwakuwa umepata Uwanja,wapi umeona mobilization ya kwenda mahakamani siku ya Leo? Kwahiyo watu wasipokusanyika kwenda kisutu ndiyo mashetani CCM mmefanikiwa?
Duuu, kamanda unabisha tena hili?!!! Mbona Kuna clip ya zaidi ya saa ya heche ya jana/juzi akihamasisha hilo?!!!
 
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...

Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..

Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..

Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu

View: https://www.instagram.com/p/DI_4YPrN6DM/?img_index=3&igsh=MWkyeTR0dTZra2ZtbA==
 
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...

Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..

Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..

Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
No Reform No Election ni abracadabra:CaptFailFish:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vibaka huwa wanatumia advantage kwenye mikusanyiko lissu hamyimi mtu usingizi afanye siasa za kistaarabu kama kuna mtu atamsumbua amewachokoza wacha wamjibu...
Alimnyima magu mpaka akawatuma mkapige risasi mumuuwe. Zile siasa mkiiba msiambiwe kuwa nyinyi ni wezi. Ndiyo mnaita za kistaharabu
 
Naamini kabisa mtu mweusi hawezi kusonga mbele Bila viboko,, hebu angalia vita kubwa ipo mitandaoni, kwa vijana wenye akiri msimu huu ndio muda wakupiga pesa hivi vyama waachien wanasiasa wenyewe Hao wakipata wataangalia ugari wao!
 
Raila amepitia sana hii misukosuko,hadi kupata katiba mpya Kenya,Aliwashauri hawa ndugu wafanye mazungumzo.Mtu wa kwanza kuanza kutukana mazungumzo hadharani ni Lisu akisaidiwa na wanamitandao ya kijqmii.Hakujua mwenzake yaliyompata hadi kuamua kufanya mazungumzo.Ngoja tuone atazuiaje uchaguzi na mimi najifunza jamani.
 
Anaingizwa chaka na mariah sarungi ndio mshauri wake..
 
Tukuulize wewe kipara cha zamani ,Lissu sio mgonjwa mahututi [ bed ridden] ila kwanini mnaogopa kumleta physically mahakamani?

Pia kwanini mnajaza askari kwenye majengo ya mahakama?

Ukitoa majibu ya hayo maswali basi utakuwa unajua impact ya Lissu ambaye hata maboss wako anawanyima usingizi.
Mandela alipigania uhuru wa S.Afrika akiwa gerezani kwanini lissu ashindwe?ingieni barabarani kudai hicho mnachotaka au kamtoeni lissu gerezani kwa maandamano yenu
 
Back
Top Bottom