kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Kama hao wafuasi wa kukinukisha hawapo kwanini mmemfungia ndani ?Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Ndani amefungiwa peke yake..Kama hao wafuasi wa kukinukisha hawapo kwanini mmemfungia ndani ?
Jibu swali,Ndani amefungiwa peke yake..
Huyu mtu hajawahi kuondoka mtandaoni hata dk mbili lakini mkwara wa kukinukisha utafikiri utawala ataungusha sasa hivi hawa ndio wana muangusha lissu kwa kuhesabu ana watu kumbe ni hewa...
Wako wapi?..Jibu swali,
Hana wafuasi wa kukinukisha sawa, kwanini mmemshikilia ?
Vp na wewe utachukua fomu ya ubunge?Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Nitachukua muda ukifika mchana kweupe mbuzi anakula majani..Vp na wewe utachukua fomu ya ubunge?
Unaongea na mtu ambaye katuma TONE TONE la milioni 2 leo asubuhi na bado.Huyu mtu hajawahi kuondoka mtandaoni hata dk mbili lakini mkwara wa kukinukisha utafikiri utawala ataungusha sasa hivi hawa ndio wana muangusha lissu kwa kuhesabu ana watu kumbe ni hewa...
Kwani umjui??Huyu mtu hajawahi kuondoka mtandaoni hata dk mbili lakini mkwara wa kukinukisha utafikiri utawala ataungusha sasa hivi hawa ndio wana muangusha lissu kwa kuhesabu ana watu kumbe ni hewa...
Mavi ya paka...Unaongea na mtu ambaye katuma TONE TONE la milioni 2 leo asubuhi na bado.
Hiki ni kielelezo jinsi CCM ilivyooza....kuanzia juu mpaka kwa vi kada uchwara kama wewe wote ni kama kuku aliyekatwa kichwa.Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi no kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Wewe mwenye kichwa huna msaada kwa lissu zaidi ya kujificha mtandaoni...Hiki ni kielelezo jinsi CCM ilivyooza....kuanzia juu mpaka kwa vi kada uchwara kama wewe wote ni kama kuku aliyekatwa kichwa.
Vibaka huwa wanatumia advantage kwenye mikusanyiko lissu hamyimi mtu usingizi afanye siasa za kistaarabu kama kuna mtu atamsumbua amewachokoza wacha wamjibu...Tukuulize wewe kipara cha zamani ,Lissu sio mgonjwa mahututi [ bed ridden] ila kwanini mnaogopa kumleta physically mahakamani?
Pia kwanini mnajaza askari kwenye majengo ya mahakama?
Ukitoa majibu ya hayo maswali basi utakuwa unajua impact ya Lissu ambaye hata maboss wako anawanyima usingizi.