Je mpaka muda huu Lissu ana amini wapo wananchi wa kukinuksha wafuasi wa chadema waingia mitini

Hapo ni nani wa kumfunga paka kengele ndio kipengelešŸ˜Ž

Akipatikana basi zoezi limeisha.
 
Vibaka huwa wanatumia advantage kwenye mikusanyiko lissu hamyimi mtu usingizi afanye siasa za kistaarabu
Vibaka utawajuaje na watu waliokuja kusikiliza utawajuaje?

Kwanini polisi wazuie hadi wanahabari kufanya reporting ya kesi je wanahabari ni vibaka?

Kwanini polisi hawakuwa deployed katika kesi za nyuma ije kuwa kesi hii ya Lissu?
kama kuna mtu atamsumbua amewachokoza wacha wamjibu...
Nani kawachokoza unaweza kusema hapo mchokozi nani na aliyechokozwa ni nani?
 
Naam! Huwa tunawashauri kila siku kwamba huwezi kufanya siasa kabla ya kulijua siasa ya nchi husika!
 
Mchokozi aliyesema atafanya uasi hivyo ziba ufa kabla hujajenga ukuta yeye makazi yake ni amerika na ubelgiji watu wameapa kutetea jamhuri ya muungano wa tanzania na katiba yake..kila ajaye kwa shari dola itamdhibiti na kumshughulikia kama ni uasi akafanyie kwenye nchi yake ubelgiji au marekani...
 
Hongera jeshi la polisi
 
Kweli kabisa
 
Kama hujui kuwa kimekwishanuka basi ukapimwe akili.
 
Wewe mwenye kichwa huna msaada kwa lissu zaidi ya kujificha mtandaoni...
Hukumsikia mwenyewe akisema kufungwa kwa mtu kama yeye ni nini? Unataka wanachama wkashindane na watu wasio na akili walioshika bunduki? Usiwe na kiherehere, tulia uone mambo yanavyokwenda.
 
Wewe mku...u uwe unatafakari basi siyo kuandika tu kwakuwa umepata Uwanja,wapi umeona mobilization ya kwenda mahakamani siku ya Leo? Kwahiyo watu wasipokusanyika kwenda kisutu ndiyo mashetani CCM mmefanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…