Je mpaka muda huu Lissu ana amini wapo wananchi wa kukinuksha wafuasi wa chadema waingia mitini

Ninyi huwa mnatoa ushahidi??
 
Majibu ya swali lako la kipumbavu anayo Muliro
 
Fear of Unknown!
 
Mandela alipigania uhuru wa S.Afrika akiwa gerezani kwanini lissu ashindwe?
Nani kamlinganisha Lissu na Mandela ?

Halafi nani alikwambia Lissu anapigania uhuru?

Kinachopiganiwa ni reforms kwenye tume ya uchaguzi iliyo chini ya mdhamini ambaye ni mwenyekiti wa CCM ambaye nae ni mshiriki wa uchaguzi huo hivyo hakuna fair political ground.
ingieni barabarani kudai hicho mnachotaka au kamtoeni lissu gerezani kwa maandamano yenu
Wewe umekariri kila kitu ni barabarani?

Siku reforms zikitokea utajua ni upepo usiojulikana unavumia wapi Kenya kuna watu December 2007 to January 2008 walipaona mbali na dharau ziliisha hadi wakaona hakuna namna reforms zifanyike tu na hakuna aliyewahi kujua ingekuwaje reforms zikatokea.
 

Attachments

  • Screenshot_20250127-162353.jpg
    367.5 KB · Views: 20
Yaani mapimbi ya ccm huwafunga watu kamba kisha hutokea na vipost vyao eti mbona hamuwez kuogelea,si wafungueni hizo kamba halafu muangalie kama wanaweza au hawawez,usalama wa taifa,jwtz,police,mahakama vinashiriki kukandamiza raia,acheni michezo ya kikoloni enyi mapimbi mwisho wenu unakaribia.
 
Majibu ya maswali yako nayaelekeza kwa mariah sarungi atayajibu kwa ufanisi hizo nyingine ni blah blah...
 
Ujanja wa matusi ni mtandaoni jana heche kapiga kelele kuita pipoooooooozi wote wamelala mbele subiri avamiwe wassira uone tutakavyo kinukisha..
 
Raila amepitia sana hii misukosuko,hadi kupata katiba mpya Kenya,Aliwashauri hawa ndugu wafanye mazungumzo.Mtu wa kwanza kuanza kutukana mazungumzo hadharani ni Lisu akisaidiwa na wanamitandao ya kijqmii.Hakujua mwenzake yaliyompata hadi kuamua kufanya mazungumzo.Ngoja tuone atazuiaje uchaguzi na mimi najifunza jamani.
Anaingizwa chaka na mariah sarungi ndio mshauri wake..
Yule anaongea tu ndugu yangu baadhi ya wafrica ukitaka ugomvi naye gusa cheo chake.Mchina amefanikiwa sana kutuibia maana hawagusi cheo cha mtu ndio maana sasa hivi anakubalika kuliko wa wazungu.Viongozi wa Africa wanawapenda wachina kwa ajili hiyo.
 
Kazi iendelee
 
Yaani Tundu kawaacha wanae na mkewe Canada akitegemea sisi ndiyo tukinukishe naye? Huo ujinga watafanya mabwege tu akina Pambalu, Twaha, Hilda Newton na wazembe wengine
 
Af watu wapo fresh tu. Wanaanza kuhamia ACT Mdogo Mdogo.

Ikumbukwe kuwa watanzania wengi hawana elim so inakua ngum ukiwaambia wasichague diwani wampendaye alieko ACT au CCM ety kisa Chadema haishiriki.
 
Yaani Tundu kawaacha wanae na mkewe Canada akitegemea sisi ndiyo tukinikishe naye? Huo ujinga watafanya mabwege tu akina Pambalu, Twaha, Hilda Newton na wazembe wengine
Mkuu unaona mbali..
 
Kila kitu ni kama wacha tuone....
 
kama polisi yuko serious anaongea hadharani ya kwamba wanaeka ulinzi kwenye nyumba ya lissu akiamini wapumbavu wengi wataamini hilo, anasema wananchi wanasababisha kesi 19 zingine zisiendele🤣kisa kesi ya Lissu, alisema kuwa hawasubiri Kuona machafuko wana act mapema, Sasa Wanautofauti gani na Tawala za kibepari ambao hawataki Kuona maandamano ya Haki
 
hao unao wasifia ipo siku utaona balaa lao maana wako juu ya sheria hata kwako ni kitendo cha kutokea mkuu wa jeshi la polisi ambae atakuwa bepari zaidi ya Huyu wa sasa ndio utajua kwanini Maandamano ya amani Haya paswi kuingiliwa kibepari kiasi hiko Na Uliwa support wakati fulani KARMA IS A BICH IGNORANCE IS A BLISS...
 
mchina anakubalika kwa sababu ya Low Tarrifs, Low cost of production, High efficiency of production na Generousity Hamna Mchina anaeongoza World Bank, wala IMF naamanisha Hawahusiki nakutuibia zaidi na tulivyoibiwa na tunavyoibiwa na mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…