kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
- Thread starter
-
- #81
Kwani uliyegombana nae wewe ni lazima mimi pia nimchukie..usimpangie mtu kuishi wala ukipendacho wewe...hao unao wasifia ipo siku utaona balaa lao maana wako juu ya sheria hata kwako ni kitendo cha kutokea mkuu wa jeshi la polisi ambae atakuwa bepari zaidi ya Huyu wa sasa ndio utajua kwanini Maandamano ya amani Haya paswi kuingiliwa kibepari kiasi hiko Na Uliwa support wakati fulani KARMA IS A BICH IGNORANCE IS A BLISS...
kifungo cha madeni tumefungwa na mzungu kulingana na Low cost ya production wanalionao wachina basi kunauwezo wa kupunguza madeni wanaotudai Americans,Raila amepitia sana hii misukosuko,hadi kupata katiba mpya Kenya,Aliwashauri hawa ndugu wafanye mazungumzo.Mtu wa kwanza kuanza kutukana mazungumzo hadharani ni Lisu akisaidiwa na wanamitandao ya kijqmii.Hakujua mwenzake yaliyompata hadi kuamua kufanya mazungumzo.Ngoja tuone atazuiaje uchaguzi na mimi najifunza jamani.
Yule anaongea tu ndugu yangu baadhi ya wafrica ukitaka ugomvi naye gusa cheo chake.Mchina amefanikiwa sana kutuibia maana hawagusi cheo cha mtu ndio maana sasa hivi anakubalika kuliko wa wazungu.Viongozi wa Africa wanawapenda wachina kwa ajili hiyo.
uko sawa ila siku ukigombananae utaangalia historia yake kwa jinsi gani alivyo haribu kwa mwenzako, Pengine unaeza ukawa umechelewa,Kwani uliyegombana nae wewe ni lazima mimi pia nimchukie..usimpangie mtu kuishi wala ukipendacho wewe...
Sio Kila mtu ni mpumbavu kuamini na kuburuzwa na upuuzi wa lissu na mariah sarungi...kama polisi yuko serious anaongea hadharani ya kwamba wanaeka ulinzi kwenye nyumba ya lissu akiamini wapumbavu wengi wataamini hilo, anasema wananchi wanasababisha kesi 19 zingine zisiendele🤣kisa kesi ya Lissu, alisema kuwa hawasubiri Kuona machafuko wana act mapema, Sasa Wanautofauti gani na Tawala za kibepari ambao hawataki Kuona maandamano ya Haki
Kanuni ya maisha haiko hivyo ndio maana kuna negative na positve...uko sawa ila siku ukigombananae utaangalia historia yake kwa jinsi gani alivyo haribu kwa mwenzako, Pengine unaeza ukawa umechelewa,
Duniani kote wapigania haki walifungwa na kukandamizwa lkn haikuwatisha walizidi kuingia barabarani. Sasa nyie kudhibitiwa kidogo tu mmeufyata!Yaani mapimbi ya ccm huwafunga watu kamba kisha hutokea na vipost vyao eti mbona hamuwez kuogelea,si wafungueni hizo kamba halafu muangalie kama wanaweza au hawawez,usalama wa taifa,jwtz,police,mahakama vinashiriki kukandamiza raia,acheni michezo ya kikoloni enyi mapimbi mwisho wenu unakaribia.
Wewe si ndio umesema na nimekuuliza uthibitishe, kwani hapa mimi nilikuwa najadiliana na Maria Sarungi?Majibu ya maswali yako nayaelekeza kwa mariah sarungi atayajibu kwa ufanisi hizo nyingine ni blah blah...
Ndio kiongozi wetu mkuu wa chama ayetushikia akili maswali yote yaelekezwe kwake ndivyo alivyo pendekeza...Wewe si ndio umesema na nimekuuliza uthibitishe, kwani hapa mimi nilikuwa najadiliana na Maria Sarungi?
Kiongozi wenu wa chama kipi?Ndio kiongozi wetu mkuu wa chama ayetushikia akili maswali yote yaelekezwe kwake ndivyo alivyo pendekeza...
KIongozi mkuu yupo nairobi..msaidizi yupo america na ubelgiji...Kiongozi wenu wa chama kipi?
Kushikiwa akili maana yake nini?
Na utajuaje umeshikiwa akili?
Na matokeo ya kushikiwa akili huwa ni yapi?
Kwahiyo chama chenu makao yake ndio Amerika na Ubelgiji?
Huyu Maria Sarungi sijui kakuchulia bwana wako maana huisi kumtaja mke mwenzioAnaingizwa chaka na mariah sarungi ndio mshauri wake..
Unaumia jina mwanamke mwenzio likitajwa kila mara...haya lete lako nawe tukupaishe dada hilda newton...Huyu Maria Sarungi sijui kakuchulia bwana wako maana huisi kumtaja mke mwenzio
Wewe ndiye kila wakati unamtaja taja kwa vile mnachangia mtwangio mmoja mbwiga wewe.Unaumia jina mwanamke mwenzio likitajwa kila mara...haya lete lako nawe tukupaishe dada hilda newton...
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote kuhusu kesi ni kuwa makamanda wamemtosa rasmi ...hata makamu mwenyekiti alipaza sauti kuzingirwa lakini hawakufika kumsaidia..
Wengi wao wa wafuasi wa CHADEMA nimewaona kariakoo wakiendelea na shughuli zao za uwinga wala hawakujali kinachoendelea hata wale wanaolipwa bando kuvurumisha matusi mtandaoni wamegoma hawataki kutumia mabando yao binafsi ...mweka hazina wa chama kagoma kutoa pesa..
Hongera jeshi la polisi kwa kuweka utulivu
Kwahiyo chama chenu kinaitwaje ? Nakuuliza tena.KIongozi mkuu yupo nairobi..msaidizi yupo america na ubelgiji...
Maswali ya kipumbavu hujibiwa kama yalivyo Chama chetu ni chadema..mwenyeti wetu lissu anaishi ubelgiji na ana ukaazi na america pia watoto wake ni raia kule..kiongozi mkuu na mshauri mkuu wa chadema anaitwa mariah sarungi kwa sasa yupo mafichoni nairobi je upo timamu kwa hayo majibu usiniulize tena...Kwahiyo chama chenu kinaitwaje ? Nakuuliza tena.
Msaidizi mmoja anawezaje kuishi nchi mbili tofauti kwa wakati mmoja hivi uko timamu kiakili kweli?
Unasoma unachoandika kweli au unajibu tu ili mradi umejibu ?
Hapa mpumbavu ni nani kama sisi wewe?Maswali ya kipumbavu hujibiwa kama yalivyo Chama chetu ni chadema..
Mwenyeti ni nani?mwenyeti wetu lissu anaishi ubelgiji na ana ukaazi na america pia watoto wake ni raia kule.
Mbona chama ni chenu ila hujikui organogram wala modus operandi!kiongozi mkuu na mshauri mkuu wa chadema anaitwa mariah sarungi kwa sasa yupo mafichoni nairobi je upo timamu kwa hayo majibu usiniulize tena...
Unanitia njaa tu mzee ulitakiwa tukuone kisutu sio huku kwenye vidole na id fake...Hapa mpumbavu ni nani kama sisi wewe?
Mwenyeti ni nani?
Lissu anaishi Ubelgiji wakati yupo Ukonga ?
Utakuwaje mkaazi wa Ubelgiji na Amerika kwa wakati mmoja ?
Hadi hapo umejiona unavyojiexpose ulivyo mpuuzi kipara cha zamani?
Mbona chama ni chenu ila hujikui organogram wala modus operandi!
Chama cheni hakina cheo cha "kiongozi mkuu na mshauri mkuu"
Hado.hapo.umejiona ulivyo mpumbavu?
Shule pia ulikua unarudi hadi umande ukikauka au?maana hata uandishi unakupiga chenga kwa kukusaidia tu jina la mji mkuu ni nomino ya kipekee hivyo huandikwa kwa herufi kubwa hivyo ni Nairobi na sio nairobi
Hadi hapo umejiona ulivyo mpumbavu?
Kwahiyo na wewe kwenye chama chenu wewe ni miongoni mwa wale think -tanks??