Je mpaka muda huu Lissu ana amini wapo wananchi wa kukinuksha wafuasi wa chadema waingia mitini

Unanitia njaa tu mzee ulitakiwa tukuone kisutu sio huku kwenye vidole na id fake...
Njaa yako mimi inanihusu nini

Kwani leo hamjaandika bajeti ya operation zenu kwenda kupoteza wakosoaji wa chura kiziwi ?
 
Njaa yako mimi inanihusu nini

Kwani leo hamjaandika bajeti ya operation zenu kwenda kupoteza wakosoaji wa chura kiziwi ?
Mweka hazina na mwandishi ni wewe kwa hiyo ndio maana nakwambia unanitia njaa...
 
Mweka hazina na mwandishi ni wewe kwa hiyo ndio maana nakwambia unanitia njaa...
Kwani chura kiziwi amevunja lile fungu la watekaji wa mama?

Hiyo ofisi iko chini ya chura kiziwi yeye ndio anahusika na wanaripoti kwake moja kwa moja.
 
Tunachojua LISU/CHADEMA wanapambana na

1. Polisi
2. Jwtz
3. Tiss
5. Scouts
6. Uvccm
7. Mahakama
8. Bakwatala.
9. Wakurugenzi
10. Watendaji
11. Migambo
12. Walimu
12. Madiwani
14. Wabunge
15. Mawaziri.

Ongezea list. Na hao wote wako kinyume na wananchi wanyonge isipokuwa jwtz kwa mbaaali ndio kidogo wako fair.
 
hakuna atakayekwenda kupiga kura Lissu akiwa jera na hata akitolewa atahamasisha tusipige.
Hivyo kura watapoga makada wa ccm na Samia.
Hapo ndio utajua umejifunza kitu, subiri mechi bado kabisa mana nasikia takrima za kushawishi watu kupiga kura zinaandaliwa lakini wait and s'
 
Mwache akae huko kidogo,
Mbowe ndo kwaanza anapuliza kuni.
 
Lissu ni wale vibaraka wanaotumiwa na nchi za magharibi wanaoamini Afrika ni mali yao. Ukisikia Trump anatoa amri Ibrahim Traore akamatwe watu aina ya kina lissu ndio wanategemewa wamkamate au kumuua. Afrika inahitaji mifumo na viongozi wanaoleta maendeleo kwa wananchi wake na sio kufuata kikasuku demokrasia ya kiliberali inayotoa mwanya ubeberu wa kimataifa kupitia mabepari uchwara wenyeji kuwanyonya umma wa wananchi na kuwafukarisha.
 
Umeandika vyema....
 
Toilet paper ikishatumika inatupwa .

Mnajisikiaje leo , haki ilivyoshinda nyie vidampa masikini mnaotumikishwa na watawala dhalimu?

Yaani vilaza mnakubali kwenye kutumikishwa kuzuia watu wasi-exercise haki ya kikatiba ya kusanyiko eti mnasema wasije mahakamani kweli?

Haya leo sijui mtaweka wapi nyuso zenu kwenye hivyo vijumba vya mabati.
 
kile kitu butu hakizoeleki, kinapiga mdomo na mkuu wa kulia tu, kilianzia kisutu kikaenda kurasini kikatokeza mbeya, sasa nani awe chambo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…