Not_James_bond
Member
- Sep 10, 2023
- 32
- 81
Katika nchi nyingi za Kiafrika, viongozi wa kisiasa wamekuwa wakikabiliwa na maswali na ukosoaji kuhusu matumizi ya rasilimali za umma.
Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari.
Hivi karibuni, suala hili limeibua hisia tofauti baada ya raia kuhesabu idadi ya magari kwenye msafara wa raisi unahusisha takribani magari 118.
Swali linalozuka ni je, hili ni uwajibikaji au matumizi mabaya ya rasilimali za umma?
Pia soma > Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe